mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
NaaaminiWanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao na vichongeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaaminiWanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao na vichongeo.
Mwenye nuksi peekee ndio anaweza omba lift ya police [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisa cha kujitia nuksi? [emoji23]
uombe lift kwenye difenda ya polisi? Hujitakii mema ya nchi...
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Hivi nipande hiyo diffenda nikiwa naenda wapi?
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Tena wakikuona umejaajaa uso umenawiri ndo kabisaa wanajua huyu lazima atakuwa na noti na utatishiwa kubambikwa kesi mbaya ili wakutoe pesa...Haahaaaaa shida ni vijana wake siwaminifu mwomba lift hiyo anaweza pewa kesi
😂😂😂Wanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao na vichongeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa mjinga sana [emoji1787][emoji1787].