Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

Unaweza ukajipoteza mwenyewe.
 
Mtego huu, Jichanganye likukute jambo
 
Sijui umewaza nini🤣🤣..dah mtuhumiwa anashuka na amapiano safi kbs
 
Kule Pemba raia wanakaa barabarani kusuburia gari yoyote inayopita kwa ajili ya kuomba lifti, kabla hawajaiona wakisikia sauti tu wanaanza kusimamisha, haijalishi ni defenda, ambulance, gari ya Mbunge au gari la jeshi...

Polisi wenyewe washazoea.
Niliona hiyo hata Unguja, Raia wanapewa lift gari ya polisi kiroho safi.... Bara tunajazana uoga lakini uhalifu unatufanya tuwaogope polisi
 
Difenda nyuma zinakuwaga na fimbo za kutosha

Sasa jichanganye udandie huo mtumbwi uone njiti utakazo chezea 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…