Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.

Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Pia Soma:

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.


Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam. BBC imezungumza na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshi linafuatilia taarifa hizo.

SOURCE: BBC Swahili
 
Kwamba mtu akirudi inatakiwa akaripoti kituo cha polisi au atangaze kuwa amerudi?
Afande anajikanyagakanyaga tu anajua aliemchukua HP ni Mafwele kwani yeye Mafwele hamjui?
 
Sasa mnataka kupindua nchi halafu mnalia.....ilikuwa inakuja tu kaanza mzee jana katoa kila kitu bado mzee Warioba hamshangai yupo kimyaa. Hakuna mtu akatukana serikali personal majina ya watu na wafanya biashara wakubwa akabaki salama.
 
Afande anajikanyagakanyaga tu anajua aliemchukua HP ni Mafwele kwani yeye Mafwele hamjui?
Katika maisha ya utumishi wowote ule ni vyema watu wakazingatia historia kuliko yajayo, kwasababu hakuna mapya chini ya jua. Everything pass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…