Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Akili zenu ndogo sana yule mwana kapachikwa kwenu mwanajeshi mkaamini ni kweli mkamuamini kumbe mtu yupo kwenye mission, askari gani anapindua nchi anatuma barua? lakini sababu uelewa mdogo wa kijasusi mkaingia choo cha kike. Hamjiulizi tu yupo wapi?
Qumma wewe
 
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.
Kazi kwelikweli.
 
Muliro bwana!

Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Hivi yule msanii anaitwa sijui Z-ANTO alifanikiwa kukupata kweli? maana kwenye ngoma ulikuwa humuelewi...
 
Itakuwa ni kosa kubwa mno la kiufundi kama hawa CCM mtandao wataamua kumuua.
 
Watu kama min -me unadhani wewe hujulikani ni nani??Nenda kasome shule....Nimeona ni mjinga fulani ila unajulikana tayari....
 
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.
Aliingiaje nchini bila Immigration kujua? au alitumia usafiri wa majahazi toka Cuba akaingia nchini kwa njia za panya?
 
Back
Top Bottom