Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

For clarification, he was not arrested. He was abducted during the night, which is both illegal and a violation of the law.
Labda kama sheria unazijuwa sana ungekemea pia alichokuwa anatoa shutuma kwa watu mpaka za mauwaji bila ushahidi kwanini usingemshauri aende mahakamani unayo ihubiri hapa.
 
He consistently called for an investigation, as the death was surrounded by suspicious circumstances you idiot! Unajua maana ya shutuma?
 
Dah RIP pole pole umeumaliza mwendo tulikupenda sana lakini mdomo wako umekuponza mpaka ukacheza na jamhuri ,RIP
 
Akihojiana na Jenerali Ulimwengu alisema yupo Morogoro baaadaye atahamia Dar es Salaam!
 
He consistently called for an investigation, as the death was surrounded by suspicious circumstances you idiot! Unajua maana ya shutuma?
Kwa hiyo kila anayeshutumu mitandandaoni kifo cha mtu yoyote uchunguzi ufanyike? sheria za nchi gani?
 
Back
Top Bottom