Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,253
- 2,166
Aliingiaje nchini bila Immigration kujua? au alitumia usafiri wa majahazi toka Cuba akaingia nchini kwa njia za panya?
Tunataka Immigration waingie pia wajibu ukweli au lahaaa
Aliingiaje nchini bila Immigration kujua? au alitumia usafiri wa majahazi toka Cuba akaingia nchini kwa njia za panya?
Mkuu wa wilaya anajua, Mkuu wa polisi hajui Hana habari? Hii nchi salama kweli?Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.
platnum membership award recieved.Kuanzia sasa huyo mama amiri jeshi mkuu akienda popote, kikwete pia, bibi na familia yake tunawasubiria mtaani muda wowote chochote kitatokea bora wabakie mdani tu. JF msibadilishe comment zangu tafadhali nipo humu over 18 years....
Kwanza mahali umeanza kufeli mimi sio kijana .Tupo kwenye hii game ila hatuwezi kujuana kijana😅😅
Nani awape nchi hao?Na hapo dola hamjashika matusi sasa mkipewa nchi?
Nadhani kuna watu wanachuuzana kwa maslahi binafsi, sasa wampambaniye mwenzao.Kinachonishangaza mimi ni Polepole kuwepo nchini.
Kama hajui alipo Polepole ampigie simu kumuuliza Mafwele au Abdul.Huyo Muliro anavyojibu ni namna tosha kuonyesha anajua kilichotokea.
Anaachaje kujua? mimi nawashangaa watu wanaoamini policcm kwamba baada ya tukio hilo watakuja na taarifa yoyote yenye mantiki maana uchukuaji wa mtu kwa gravity hiyo huwa wanamuua moja kwa moja kesi kama hiyo ni kama ya Mdude .Kama hajui alipo Polepole ampigie simu kumuuliza Mafwele au Abdul.
Sawa naingoja sana na ugwadu kama wotee...Mkuu subiri kwanza tuna mambo ya kitaifa
Ntakuhadithia siku nyingine ilivyokua.
Kwamba majambazi wameweza kujua alipo Polepole ila polisi wameshindwa kujua.Bora hata asingesema hivo inaonesha hawana intelligence hujui mtu yupo wapi na una mtafuta muda wote na ameingia nchini kupitia wapi hujui hizi ni aibu anaona sifa kumbe aibu tu
Huyo mzee ana kiburi sana cha mamlaka.Muliro bwana!
Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Shida inakuja tumekariri kuwa hayo machafuko ni kupitia maandamano tu na tena yaliyopangwa na tarehe maalumu kabisa, binafsi siamini kabisa katika hayo maandamano maana naona asilimia ya kufanikiwa kwake kuweza kufanyika ni ndogo sana na yakishindikana basi yatazidi kukatisha tamaa.Hii nchi bila machafuko haiwezi kuwa na amani kabisa, sijui walimaanisha amani ya nini hawa waimba amani?.