Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Shida inakuja tumekariri kuwa hayo machafuko ni kupitia maandamano tu na tena yaliyopangwa na tarehe maalumu kabisa, binafsi siamini kabisa katika hayo maandamano maana naona asili ya kufanikiwa kwake kuweza kufanyika ni ndogo sana na yakishindikana basi yatazidi kukatisha tamaa.

Kilichofanyika kwenye mabasi na vituo vya mwendokasi hakikuwa kimepangiwa siku maalumu ila kilifikisha ujumbe vizuri sana.
Hoja yako ni kweli tupu pia hujanielewa kido tu, huo utekaji ndio niliomaanisha uchafuzi kwa sababu kufanya mambo ambayo yanajulikana fika ni makosa kwa wananchi, hii ndiyo inasababisha watu kutamani machafuko yatokee nchini ili kuondoa utawara usio na haki kwa watu wote, ila sidhani kunamtu anatamani machafuko yatokee nchini ila ni kwa kuwa inalazimu kuwa hivyo.
 
Sasa mnataka kupindua nchi halafu mnalia.....ilikuwa inakuja tu kaanza mzee jana katoa kila kitu bado mzee Warioba hamshangai yupo kimyaa. Hakuna mtu akatukana serikali personal majina ya watu na wafanya biashara wakubwa akabaki salama.
Wacha ujinga wako wewe. Una mawazo ya kizamani sana na ungejua kilicho nyuma ya pazia ungejiaharishia.
 
Muliro bwana!

Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Mkuu hawa watu wamelewa madaraka hivyo akili zao haziko sawa.
 
Muliro bwana!

Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Polisi akiwa ana itikadi ya chama ndio inapelekea hivi anavyobehave Muliro
 
Mkuu wa wilaya anajua, Mkuu wa polisi hajui Hana habari? Hii nchi salama kweli?

Na Kagame anasikia haya maneno, are we sucure? Hivi kuna investor akisikia haya anajiona comfortable?
Kama hawakuweza kulinasa tukio lote kwenye CCTV nitashangaa sana. Nasikia walipiga risasi camera, lakini kwa mtu mtaalam anayejua ku-set CCTV camera, anaweka bosheni na halisi. Unazificha kila kona... Na pia alitakiwa awe amejijengea safe room.. au huwa wanaita panic room. Unaweka mlango wa chuma cha pua na mawasiliano ndani. Mtekaji ahitaji muda na zana imara kuvunja mlango. BTW kila wanapoteka wanaacha mchirizi wa ''damu'' kwa nini? Huwa wanakuja na nyundo na kufanya mauaji hapo hapo na kuacha damu ili kutishia wengine? Au huwa wanakuja na damu ya ng'ombe wanamwaga ili kufanya watu wadhani ameshafariki kwa kipigo?
 
Wewe mwenye akili hebu tuambie, ungekuwa wewe ndio Rais wa nchi ungemfanya nini huyu jamaa.
Mahakama ziko za nini? Kama ana makosa kwa nini asipelekwe mahakamani? Subiri tu haya yana mwisho mbaya sana kwa Samia.
 
Poleple alikua yuko nchini kila siku alikua anasema acheni uhuni
 
Hawa hawana itikadi yoyote. Ni matumbo yao tu. Ukisema wana itikadi ni kama kuishushia hadhi itikadi.
Muliro ni mwanachama wa CCM ndio maana sio mzalendo linapokuja Mambo yanayohusiana na siasa umeshasahau huyu ndio alikuja na kauli ya kuwa watu wanajiteka
 
Muliro ni mwanachama wa CCM ndio maana sio mzalendo linapokuja Mambo yanayohusiana na siasa umeshasahau huyu ndio alikuja na kauli ya kuwa watu wanajiteka
Najua lakini hawa wote walio CCM hawako huko kwa sababu ya itikadi. Ni matumbo yao tu. Mtu kama Nyerere ndiyo unaweza kusema alikuwa na itikadi.
 
Mahakama ziko za nini? Kama ana makosa kwa nini asipelekwe mahakamani? Subiri tu haya yana mwisho mbaya sana kwa Samia.
Sasa haraka ya nini, ndio kwanza kashikwa subiri siku akipelekwa mahakamani mbio speed.
 
Najua lakini hawa wote walio CCM hawako huko kwa sababu ya itikadi. Ni matumbo yao tu. Mtu kama Nyerere ndiyo unaweza kusema alikuwa na itikadi.
Sio wote wapo CCM kimaslahi wengine huwa wanarithi kupitia wazazi wao usikariri maana sisi wote hatujui chimbuko la Muliro lilikuaje mpaka akawa ni mwanaccm
 
Back
Top Bottom