ICC ndo nani kwani? Kajibu hayo ni maoni yao.. wangekuwepo angehojiana nao.... mbona yupo wazi....Hawa police wabongo wepesi sana. Wakisimishwa kwenye vizimba vya ICC na hivi hawajui kingereza watakuwa wapole sana
Sio kingereza tuu na elimu zeroHawa police wabongo wepesi sana. Wakisimishwa kwenye vizimba vya ICC na hivi hawajui kingereza watakuwa wapole sana
Jamaa hawakuridhika hadi wakawafira...dah sodoma iko hapa hapa bongo.ICC ndo nani kwani? Kajibu hayo ni maoni yao.. wangekuwepo angehojiana nao.... mbona yupo wazi....
Mpaka watuwekee picha ya miku- du yao tuhakikishe kama walifirwJamaa hawakuridhika hadi wakawafira...dah sodoma iko hapa hapa bongo.
Fala kweli wewe.Mpaka watuwekee picha ya miku- du yao tuhakikishe kama walifirw
Duh.Mpaka watuwekee picha ya miku- du yao tuhakikishe kama walifirw
ICC inakungoja vizuri sana Muliro! Uchawi haufui dafu kipindi hiki!Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika.
Ameyasema hayo alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
Soma pia: Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana
Mwangi na Atuhaire walikuwa miongoni mwa wanaharakati waliokwenda Dar es Salaam kuhudhuria kutajwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu.
Basi walete ripoti ya Daktari inayoonyesha mabaki ya shahawa mpyaFala kweli wewe.
Muliro anaamini amesha kuwa rais wa tanzania maana anaongea sana utadhani mama chausikuMuliro aache kuongeaongea, ataangushiwa jumba bovu.
Tena awe na akiba, huu mwaka mgumu sana. Mpaka kufikia October anaweza kujikuta anawapigia saluti watu ambao hajawahi kudhani watafika huko.