Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Homa ya october inazidi kuwa juu
Muliro Acha UJINGA mnampoteza Mwenyekiti wa CCMKamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika.
Ameyasema hayo alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
Soma pia: Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana
Mwangi na Atuhaire walikuwa miongoni mwa wanaharakati waliokwenda Dar es Salaam kuhudhuria kutajwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu.
Haelewi, mi nilipokuja kufahamu askari wengi uelewa ni mdogo ni yule kwenye kesi ya ugaidi ya mbowe anasema tourism maana yake ni ugaidi, alikuwa anafikiri ni terrorism...Imagine! Tofauti ya a "matter of fact" na a "matter of opinion".
Sikuwahi kufikiria kama muliro ni brainless kiasi hicho!!!Ukisikiliza ni kama anajikanyaga sana kujibu, halafu cha kuchekesha anasema eti hayo ni maoni yao, hivi Agatha na Boniphace walikuwa wanatoa maoni gani kwenye ile press?
Wale walikuwa wakitoa taarifa ya nini kiliwasibu baada ya kukamatwa... hivi huyo mzee anaelewa hata maana ya maoni kweli?
Deni la muhalifu Mkuu analoHili lizee sura chachu ni umbwa kabisa
Ndio ustaaraba wa sirikali ya MadagascarMurilo wamemkamata mtu hotelini kinyume cha sheria na kwenda kumtupa porini akiwa na majeraha alafu anasema hajanyanyaswa ?
Suala la kuchukua mtu kumtupa porini akiwa na majeraha ni unyama na unyanyasaji mkubwa na sio sheria yetu inasema hivyo. Nina wasi wasi na elimu yake
Ana ukimwi?ukimwi wa uzeeni sio mzuri
shida sio elimu. ni ukatili tu wa watawala. Anguko lao haliko mbali.Murilo wamemkamata mtu hotelini kinyume cha sheria na kwenda kumtupa porini akiwa na majeraha alafu anasema hajanyanyaswa ?
Suala la kuchukua mtu kumtupa porini akiwa na majeraha ni unyama na unyanyasaji mkubwa na sio sheria yetu inasema hivyo. Nina wasi wasi na elimu yake
Ana Elimu ya hapa na paleMurilo wamemkamata mtu hotelini kinyume cha sheria na kwenda kumtupa porini akiwa na majeraha alafu anasema hajanyanyaswa ?
Suala la kuchukua mtu kumtupa porini akiwa na majeraha ni unyama na unyanyasaji mkubwa na sio sheria yetu inasema hivyo. Nina wasi wasi na elimu yake