PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona waandishi wa habari wazungu hawakuwatendea ufirauni huo
 
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika.

Ameyasema hayo alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

Soma pia: Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana

Mwangi na Atuhaire walikuwa miongoni mwa wanaharakati waliokwenda Dar es Salaam kuhudhuria kutajwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu.

Hili lizee sura chachu ni umbwa kabisa
 
Walivyotekwa walikuwa nyumbani kwake?
 
Tanzania tumepiga hatua kubwa tumetoka ndani sasa tunateka kimataifa
 
Hawa police wabongo wepesi sana. Wakisimishwa kwenye vizimba vya ICC na hivi hawajui kingereza watakuwa wapole sana
Kwakuwa kuna Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika yenye Makao Makuu Arusha.
Na kwakuwa Polisi wa Tanzania ni wepesi sana na hawajui Kiingereza kwa mujibu wako,

Sasa, nakushauri ufungue shauri kwa niaba ya Mwangi na Atuhaire pale Arusha wewe ukitumia Kiingereza chako kizuri dhidi ya Kiingereza kibovu Cha Polisi Tanzania. Usipofanya hivyo, wewe utabaki kuwa MJINGA SANA NA MPUMBAVU SANA wa JF!
 
Hata kwenye kesi ya Lissu mara ya kwanza alikanusha Policcm kuteka ,kutesa,na kuua japo kulikuwa na ushahidi wa wazi.
 
Mpaka watuwekee picha ya miku- du yao tuhakikishe kama walifirw

..Wanaharakati wa Kenya wanasema ripoti za Madaktari zinathibitisha kuwa walidhalilishwa na kuteswa kingoni.
 
Safi kabisa. Sasa watatuheshimu na siyo kutudharau kama walivyokuwa wanfanya
 
Ukisikiliza ni kama anajikanyaga sana kujibu, halafu cha kuchekesha anasema eti hayo ni maoni yao, hivi Agatha na Boniphace walikuwa wanatoa maoni gani kwenye ile press?

Wale walikuwa wakitoa taarifa ya nini kiliwasibu baada ya kukamatwa... hivi huyo mzee anaelewa hata maana ya maoni kweli?
Imagine! Tofauti ya a "matter of fact" na a "matter of opinion".
 
Jamaa hawakuridhika hadi wakawafira...dah sodoma iko hapa hapa bongo.
Sio mchezo na hapo dunia inajua wako nao vipi kwa wale ambao wanatekwa na wasiojulikana wanakutana na madhila gani
 
Ukisikiliza ni kama anajikanyaga sana kujibu, halafu cha kuchekesha anasema eti hayo ni maoni yao, hivi Agatha na Boniphace walikuwa wanatoa maoni gani kwenye ile press?

Wale walikuwa wakitoa taarifa ya nini kiliwasibu baada ya kukamatwa... hivi huyo mzee anaelewa hata maana ya maoni kweli?
Atakuwa mchawi asie. Jua kiswahili
 
Back
Top Bottom