PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watanzania wanakuwa tortured na Polisi kila siku,ni wanyonge hawana pa kukimbilia,Hospitali,Polisi na kila kitu kinaweza nunuliwa na kupindisha ukweli,Hivyo hii strategy ya “Kukataa”au “Kukanusha”Inawezekana..Ila kipindi hiki mmekosea step,Mtaletewa Facts ambazo hamuwezi kukanusha…
 
Ni bora ukamatwe na Boko Haram wanaweza kuwa na utu kuliko hawa jamaa.
Hii picha inaweza kukupa taswira jinsi walivyokatili. Hiyo fimbo kama ingetua kwenye kichwa cha mtu sidhani kama angesalimika
 
OVERNIGHT: Human Rights Foundation calls on UN Special Rapporteur on Torture to investigate Tanzania for cruel, inhuman, or degrading treatment after harrowing stories of sexual abuse while in detention by activists Boniface Mwangi and Agather Atuhaire
 
Muliro Acha UJINGA mnampoteza Mwenyekiti wa CCM
 
Wanakuja sasa wenyewe kuchunguza, hawa wangerudishwa tu pale pale airport
 
Imagine! Tofauti ya a "matter of fact" na a "matter of opinion".
Haelewi, mi nilipokuja kufahamu askari wengi uelewa ni mdogo ni yule kwenye kesi ya ugaidi ya mbowe anasema tourism maana yake ni ugaidi, alikuwa anafikiri ni terrorism...
 
Sikuwahi kufikiria kama muliro ni brainless kiasi hicho!!!
 
Murilo wamemkamata mtu hotelini kinyume cha sheria na kwenda kumtupa porini akiwa na majeraha alafu anasema hajanyanyaswa ?

Suala la kuchukua mtu kumtupa porini akiwa na majeraha ni unyama na unyanyasaji mkubwa na sio sheria yetu inasema hivyo. Nina wasi wasi na elimu yake
 
Ndio ustaaraba wa sirikali ya Madagascar
 
shida sio elimu. ni ukatili tu wa watawala. Anguko lao haliko mbali.
 
Ana Elimu ya hapa na pale
Zile za kuunga kwa kamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…