Elections 2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

Elections 2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

Kwenye hili tukio ni Mwandishi wa gazeti moja tu alikuwepo? Tupate uhakika kutoka vyombo vingine vilivyokuwepo katika tukio hilo ili niweze kuamini. Mi nawafahamu waalimu hawako hivo. Hawawezi kumpiga kiongozi wao. Hata kama hawakubaliani wangekaa kimya ila wangebaki na msimamo wao. Kama walimu wamefika hapo basi taifa limekwisha.
HII KWA SASA NI KAWAIDA HATA HAPA NILIPO TAARIFA ZINASEMA WAMEMTUSI SANA AFISA ELIMU WAO...!
....viva LOWASSA viva...
 
Jamani huko kwimba mansoori vipi??
Mnamrejesha au mnaenda na ukawa??

Maana pale mjini nilishuhudia mwenyekiti wa chadema akishinda

kati ya majimbo ambayo ukawa hawatakiwi hata kuyawaza ni kwimba na sumve ukawa hawana chao ndassa na mansoor n kama kukamilisha ratiba tu
 
Hata huku Mwanza kuna walimu wa kike wamekusanywa na Mgombea Ubunge wilaya ya Ilemela ccm na kuwadanganya kwa kuwaanzishia saccos ili wamchague. Tunawashauri Waalimu safari hii msifanye makosa na twende na UKAWA
 
mulongo ni kati ya wakuuwa mikoa wasio na sifa za uongoz
 
Kama ccm itashinda sio kwa roho mbaya nitafurahi hasipoteuliwa tena kuwa mkuu wa mkoa kwasababu hafai
 
Katika hali isiyokua ya kawaida Juzi mkuu wa mkoa wa mwanza MAGESA MULONGO alifanya kikao na wakuu wa mashule wote wa jiji na ilemela cha kushangaza hakuna ajenda ata moja iliyokua ina maslahi na walimu zaidi iliwalazimisha walimu kuibeba CCM na kuhakikisha Magufuri anashinda.

Kesho jumamosi tarehe 17/10/2015 Magufuri atakuwa Mwanza CCM KIRUMBA lakini leo wakuu wa mashule wamewatangazia wanafunzi kua waende CCM KIRUMBA kuwaona wakina DIAMOND bure na kuwaambia wale wakidato cha nne ,tano na sita kumpigia Magufuri kura...Ajabu alivyokuja LOWASSA hatukuona wakiwatangazia wanafunzi kwenda kwenye mkutano wa Lowassa.

TUME ya Uchaguzi lazima ichukue hatua kali sana dhidi ya RC na wakuu wama shule wa MWANZA
 
Kwa mwanza wataishia kuvuna aibu tu wasijichoshe hata
 
Back
Top Bottom