Nothing wrong with collecting taxes.... Kenya inapata kodi mara dufu na, zaidi ya Tanzania...kwahivyo tunaelewa na tunayajua haya mambo....
lakini vile Tz imefanya ni vibaya, you cannot play robinhood with economy.... hii comment....
----
A local franchisee for a global brand said it was in the process of leaving the country after a tax bill this year that topped its combined sales for the past five years.
------
baada ya kugeuza sheria, hio kampuni imelazimika kulipa kodi ambayo ni zaidi ya faida yote walio ipata kwa miaka mitano iliopita.... hio s ulipaji kodi tena, hapo unamfujuza muekezaji