Multinational corporations shut Tanzania operations, enter Kenya

Tatizo ni uumbwa mwitu wa magufuli, na unafiki alionao umewachosha na kuwachusha hao investors ndo maana teketeke wanakuja Kenya.
Ngoja waje kwenu, mtawapa kila wanchotaka, Tanzania sio nchi ya to back down. MCC walipiga tarumbeta thinking someone surely will come back to running, well ....leo wamefunga mpaka ofisi.
 
Wazee wa tax holiday wamekaziwa sasa wameanza kulialia.
Let them go,
Hao jamaa wa migodini f...ck them all, JPM apandishe kodi, zaidi na zaidi hadi wasepe tomorow.
*****!
Wametumyonya sana, halafu utasikia hayo makampumi wanavyo kusifia when they are making money from you. oh, the big gold producer, number one FDI destination. Huku wanachukiwa chao wanondoka. Yani sasa hivi ni kumkomalia nyani tuu. Na ungle Magu alisha yajua yote haya, and he was ready for it. Haiwezekani unazalisha dhahabu kiasi hicho halafu unalipa 3% royalty halafu wakati mwingine hata hawalipi wanasema wamepata hasara.
 
Nyie ni wanyanyasaji ndo maana wahama kule Dar es salam kuja Nairobi. Ease of doing business index iko chini Sana.
 
I would not say if it is good or bad without figures, maybe they are only crybabies. I have witnessed companies leaving the kenyan market with all manner of insinuations only for their competitors to smile all the way to the bank
 
The only problem I see in this is that we are doing it now not earlier.
 
Si bure hapo lazima kuna story nyuma ya pazia, mostly probably walikuwa wanakwepa kodi kwa muda mrefu, Tz wafanyabiashara wengi walikuwa peponi kwa miongo, usipokwepa kodi ulikuwa unaonekana zoba, acha wanyooshwe tu.
 
Hizo Telecommunication companies zinapiga kelele kwa kuwa wamebanwa kuanzia Jan 2017 waanze kuuza shares zao DSE, waTz tuna haki ya kufaidi faida ya matumizi yetu na itasaidia kujua faida halisi wanayopata. Acha Magu aendelee kubanana nao hivi, mabadiliko yana gharama.
 
Hao Investors kwenye mining sectors waondoke tu hawana msaada wowote wame rob hii nchi kwa miongo mingi wafungashe virago waende wanapoona panawafaa. Juzi hapa tulilamika jinsi wamekezaji feki walivyokuwa wananyonya nchi leo mambo yanabadilika mnawapongeza tena?
 
waache waende tuna kampuni za madini kila siku zinatangaza kuwa zimepata hasara lakini cha ajabu kila mwaka wanatoa Zaidi ya USD 700 Millioni kama faida inayotakiwa kugawiwa kwa shareholders na migodi pekee waliyonayo ni hii ya Tanzania ambayo kwenye vitabu vyao inaendeshwa kwa hasara sasa unajiuliza hiyo USD 700M za kugawa kama profit inatoka wapi wakati wanapata hasara? hapo ndipo utagundua hawa wengi wanatunyonya sio wawekezaji wa kweli....na waende tu
 
Kiburi chenu hiki ndio tatizo. Maskini hufai kuwa jeuri maana hata pipi na sindano unàagiza. Mkae chini na wawekezaji muelewe tatizo nini.

Nimeona hata Dangote amesimamisha shughuli. Ipo siku mtamkumbuka Kikwete.
sisi tunataka wawekezaji lakini sio wawekezaji wajanja wajanja ambao hawana tija waende tu maana wameitumia vibaya sana Tax incentives walizokuwa wanapewa now its time kuondoa vyote hivyo ili tubaki na investors wenye faida na nchi na sio wanyonyaji
 
President John Magufuli, nicknamed "the Bulldozer" for his infrastructure projects and pugnacious leadership style!!!!......???
Uchochezi!
 
sisi tunataka wawekezaji lakini sio wawekezaji wajanja wajanja ambao hawana tija waende tu maana wameitumia vibaya sana Tax incentives walizokuwa wanapewa now its time kuondoa vyote hivyo ili tubaki na investors wenye faida na nchi na sio wanyonyaji

Sasa mbona mnatoa taarifa tofauti tofauti kuhusu Dangote, mara alisitisha kiwanda kwa issue ya mkaa wa mawe, mara eti mitambo, mara mnasema atapata mkaa wa mawe mara hiki mara kile..... shughuli
 
Utashi wako wa kufikiri umeishia hapo.
 
Mkemia anayefanya maamuzi makubwa ya kiuchumi akipuuza ushauri wa Wachumi tena kwa hisia tu
 


Nadhani siyo sahihi kusema "New Tax Demands''. Na Serikali isilipuuze sana hoja hiyo. Serikali hii kwa sasa inafanya usimamizi mzuri wa Makusanyo ya Kodi ,nadhani tatizo ni Kiwango cha Kodi na zile fees ziambatanazo nayo kwenye masuala yab Leseni mbalimbali kutegemeana na aina ya Biashara. OSHA ,TBS,TFDA,FIRE,TALA,SUMATRA, TBS,NEMC etc.
Sasa hapo hujaongeza rushwa inayoambatana nayo kwa watumishi wa umma kutotoa nafasi kwa Taasisi pale panapojitokeza mapungufu kwenye kuzingatia Kanuni hizo hapo juu.
 
pipi ni kwetu ni kweli tunaagiza toka Iringa. sijui kama unalifahamu hilo.
 
Sasa mbona mnatoa taarifa tofauti tofauti kuhusu Dangote, mara alisitisha kiwanda kwa issue ya mkaa wa mawe, mara eti mitambo, mara mnasema atapata mkaa wa mawe mara hiki mara kile..... shughuli
ishu ya dangote mzizi wake ni TRANSFER PRICING wao wanataka wavune faida kwetu afu ipelekwe sehemu nyingine ishu ni kwamba jamaa aliambiwa atauziwa makaa ya mawe na gesi lakini cha ajabu katengeneza kampuni iliyosajiliwa inchini Mauritius ili yenyewe iuziwe gas isiyochakatwa kwa bei ya chini sana afu hiyo kampuni iichakate na kuiuzia kiwanda cha cement kwa bei kubwa ili kupunguza faida kwenye Cement ambayo in return itapunguza kiwango cha kodi itakayolipwa sababu ya gharama kubwa hivyo atakuwa anajipigia faida nzuri itakayowekwa mauritus huko ambao wao wamekubali mfumo huo na ndio maana makampuni makubwa yanajisajili huko sasa Magufuli kalijua hilo ndio maana jamaa wameambiwa wanunue gas iliyochakatwa na pia makaa ya mawe yanunuliwe hapa hapa sababu yapo yanayoweza kutumika kwa Zaidi ya miaka 200 na dangote alianza kwa kusema atanunua tani elfu 5000 ambazo hadi leo hajazilipia......................................

wawekezaji tunawapenda lakini sio wanyoyaji
 
Watu wanakimbilia kulaumu tuu bila kujuwa ukweli, wawekezaji wengine wanafikiria Tanzania bado imelala. Si unakumbuka mgodi ulisema unapata hasara wakati wanalipa dividend to their share holders in UK. Kama Mzee anavyo sema, asiefanya kazi asile, na wao kama kodi ni shida wachape lapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…