Ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaa ... Umenifurahisha kweli kwa mshangao ,dah noma sana sijui yetu macho.
majungu tupu. fanyeni kazi.
majungu tupu. fanyeni kazi.
aatamsifia raisi weeeeeeee!oh meshimiwa raisi,ooh sisi-m,oooh figa langu lakwanza baba ritz asante sana kuniongezea ulaji....!kiukweli bila fitina hana uwezo japo mnahisi experience itambeba but mind you content in the area of specialization brings efficiency.kwahiyo kwa level ya elimu yake huyu mama uwezo wake nimdogo sana kua naibu wa elimu hasa kwachangamoto zinazoikabili sekta ya elimu kwasasa,tutegemee elimu kuporomoka zaidi ilivyosasa.bora hata mzigo mulugo ukali wake ulisaidia kidogo ila huyu yeye anahulka yakusifia hata madudu!
Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'
ngoja tusubiri utendaji wake
Baada ya miezi 3 UDSM watampa udokta wa heshima na atakuwa anaitwa Dr. Jenister Mhagama.
Hhyu mama kidogo anaahueni na anaweza kuunganisha muungano uliozaa tanzania kuwa ni tanganyika na zanzibar na siyo zimbwabwe na pemba