Mulugo vs J. Mhagama.

Mulugo vs J. Mhagama.

Hata huyu Kawambwa sijui kwa nini kaachwa????!!!!??
 
aatamsifia raisi weeeeeeee!oh meshimiwa raisi,ooh sisi-m,oooh figa langu lakwanza baba ritz asante sana kuniongezea ulaji....!kiukweli bila fitina hana uwezo japo mnahisi experience itambeba but mind you content in the area of specialization brings efficiency.kwahiyo kwa level ya elimu yake huyu mama uwezo wake nimdogo sana kua naibu wa elimu hasa kwachangamoto zinazoikabili sekta ya elimu kwasasa,tutegemee elimu kuporomoka zaidi ilivyosasa.bora hata mzigo mulugo ukali wake ulisaidia kidogo ila huyu yeye anahulka yakusifia hata madudu!
 
Kama ni ukali, huyu mama nae ni mkali kweli.
 
Diploma ni elimu makini sana na atafanya kazi nzuri. Rais ameshafanya utafiti na kugundua kwamba utendaji wa kazi hautegemei sana idadi ya digrii, and some of degree holders have become the so called 'mawaziri mizigo'

kweli raisi amefanya maamuiz makini yenye utafiti kama alivyomuacha Bwana Thanx Kawambwa
 
Mr.DZUDZUKU, mi nakataa kabisa, licha ya kuchemka Mungano, bado hakutumia hekima katika sekta yake, ebu kumbuka majibu yake kwa wale vijana waliokosa mikopo 2013. Ingawa anaye kuja simfahamu vizu, pengine ataweza kido, hasa ajitahidi kusema na kujibu kwa hekima, Mh.Mlugo tumemfahamu kwa kusema kwake na kujibu kwake.
"Ashakumu si matusi kwa kusema ukweli"
 
Ninafikiri promosheni ya form 2 a.k.a CHEKA TIME sio ya Mlugo ni ya Jenister
 
...kwa Magamba,hakuna mwenye afadhali .,tusubiri madudu mengine kwa nguvu, kasi na ari mpya!
 
Hhyu mama kidogo anaahueni na anaweza kuunganisha muungano uliozaa tanzania kuwa ni tanganyika na zanzibar na siyo zimbwabwe na pemba

Tofauti yao ni majimbo wanayotoka tu na jinsi yao, basi. Uwezo na elimu yao vyote sawa. Elimu imekufa ndugu zangu. CCM wangeiba na kuchezea kila kitu wanachotaka katika taifa hili lakini siyo elimu. Sitaki hata kuzungumzia Wizara ya Elimu kwa vile chini ya Kawambwa na hata huyo Jenister Mhagama ni kama haipo. Tuombe Mungu tu
 
Back
Top Bottom