Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.