MUM idahili toka tcu.

MUM idahili toka tcu.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.
 
Hivi seminary za kikrsto Waislam wanaruhusiwa kusoma?
 
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MMU wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MMU tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MMU ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.
Akili yako inawaza ngono tu MMU ni jukwaa la mapenzi.
 
KwAnini usiende kuwauliza tcu??? Umefikia majumuisho kabla ya uchunguzi??!!
 
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.

Mi naona serikali hawana makosa wapo sawa chuo cha kiislamu masharti yake Makali mkristo uvae baibui,bora waende wenye dini yao big up to my government
 
Hivi seminary za kikrsto Waislam wanaruhusiwa kusoma?

we ritz ni b.w.ege kweli tena kubwa jinga.,UNIVERSITY sio SEMINARY..,never compare incomparables ndg!..,vyuo vikuu havidahili wanafunz kwa mising ya kidin,kabila,rangi n.k km ambavyo seminary za kikristo/kiislam hufanya(dini huwa kigezo kikuu)
 
Hivi seminary za kikrsto Waislam wanaruhusiwa kusoma?

RITZ nakuconsider mara zote kuwa we ni intelligent mbona umejibu tofauti sana,mbona uzi wa seminari umeongelewa sana humu.Okey anyway Seminary za Kikatoliki (Ndizo ninazojua) zinapokea wakatoliki tu kwa vile malengo makuu ni kuandaa mapadre,Je MUM ni Special kwa ajili ya kuandaa mashehe?
 
Sioni worry, maana wao ndio wanajinyima fursa ya kubeba vipanga.

Lakini pia, wacha wawape fursa tu. Baadae wakifika wanakotaka kufika watadahili wote.
 
Moja ya sheria za TCU inaruhusu vyo binafsi kujiunga au kutojiunga na CAS,
kwa hiyo hivyo vyuo vya wakristo hawakulazimishwa kujiunga na CAS katika kudahili wanafunzi kama ambavyo MUM hawakuwa na ulazima wa kutojiunga na CAS,

hasa ukizingatia kila chuo kina malengo yake.

Ukienda pale MUM, uwe mkristo, muislam, myahudi n.k. utadahiliwa tu endapo unakidhi vigezo na masharti ya kujiunga na masomo katika level unayoitaka.

Kwa maana hiyo hakuna ubaguzi wa wazi wala uliojificha kama ambavyo unataka watu tuamini.

Sema hii ni dhambi inayokukula mwenyewe kwa kuwa post yako imeweka wazi kuwa kabla ya udahili wa wanafunzi kipitia CAS ubaguzi ulifanyika katika vyuo ulivyotaja pamoja na vya serikali.

Hivyo kwa kuona hao MUM wanadahili kupitia chuoni kwao ukadhani na wenyewe wanafanya ubaguzi.
 
Labda wanachukua wanafunzi ambao hawana sifa za kuingia chuo kikuu chochote Afrika Mashariki!!! yawezekana mwanafunzi akiwa na principal E Arabic, Principal E Islamic basi yeye afaa kuchukua shahada ya ualimu kama nimekosea nisahihisheni please.
 
labda wanachukua wanafunzi ambao hawana sifa za kuingia chuo kikuu chochote afrika mashariki!!! Yawezekana mwanafunzi akiwa na principal e arabic, principal e islamic basi yeye afaa kuchukua shahada ya ualimu kama nimekosea nisahihisheni please.

mkuu hujakosea na umemaliza kila kitu wakaona wakichukua wote itakuwa tabu na maana ya jina la chuo cha kiislam litapotea !!!!
 
Labda wanachukua wanafunzi ambao hawana sifa za kuingia chuo kikuu chochote Afrika Mashariki!!! yawezekana mwanafunzi akiwa na principal E Arabic, Principal E Islamic basi yeye afaa kuchukua shahada ya ualimu kama nimekosea nisahihisheni please.

wala hujakosea kuna rafiki yangu anaitwa Ally ni mpemba aliingia na passnark kama hzo na sasa ni mwalimu yupo igunga.
 
In short mtoa mada MUM isn't a university rather it is an AFFILIATED high school.. if not MADRASURL
 
Moja ya sheria za TCU inaruhusu vyo binafsi kujiunga au kutojiunga na CAS,
kwa hiyo hivyo vyuo vya wakristo hawakulazimishwa kujiunga na CAS katika kudahili wanafunzi kama ambavyo MUM hawakuwa na ulazima wa kutojiunga na CAS,

hasa ukizingatia kila chuo kina malengo yake.

Ukienda pale MUM, uwe mkristo, muislam, myahudi n.k. utadahiliwa tu endapo unakidhi vigezo na masharti ya kujiunga na masomo katika level unayoitaka.

Kwa maana hiyo hakuna ubaguzi wa wazi wala uliojificha kama ambavyo unataka watu tuamini.

Sema hii ni dhambi inayokukula mwenyewe kwa kuwa post yako imeweka wazi kuwa kabla ya udahili wa wanafunzi kipitia CAS ubaguzi ulifanyika katika vyuo ulivyotaja pamoja na vya serikali.

Hivyo kwa kuona hao MUM wanadahili kupitia chuoni kwao ukadhani na wenyewe wanafanya ubaguzi.

Nadhani MUM malengo yake ni kudahili wanafunzi wengi zaidi wa Kiislamu (Priority) wengine hawa wanakuja tu kubalance,kwa maana hiyo kaupendeleo kwa waislamu kapo.Ila ukishakuwa admitted pale hawana ubaguzi wowote katika maendeleo yako ya taaluma ilimradi unafuata masharti yao ya chuo.Ukishakuwaadmitted usitegemee kubebwa kwa uislamu wako unaliwa kichwa kama kawa ukifanya uzembe
 
Back
Top Bottom