MUM idahili toka tcu.

MUM idahili toka tcu.

Kwani kuna mkristo aliyeomba na ana vigezo akakosa au unadhani hakuna wakristo wanaosoma........naomba jibu
 
Nilicho maanisha hapo ww uangalie watu ambo Mum inawadahili wanavyokuwa na wanafunzi ambao TCU inadahili kwenda kwenye vyuo mbalimbali hata chuo Kikuu cha THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR ( SUZA) Kuna mwaka walijiingiza kwenye TCU baada ya kupelekewa wanafunzi kwa mara ya kwanza tu mwaka wa pili wakajitoa Tatizo kubwa ni maadilli jomba hawa mabinti hawawezi kusoma MUM wata disco Bure

udini upo au haupo hapo mum?
kuhusu nidhamu mpo njema....!
 
Maadili ya MUMya kinafiki bwana hao hao waliojifunika wanamegwa sana mitaa ya kihonda kule,njoo huku mitaa ya Mazimbu huku Ipoipo mbona wanafichwa sana kwenye vichemba.Hizo nguo zisikudanganye kuwa kuna maadili hamna kitu hapo,nenda fielduonewanafunzi wa MUM wanavoishikinafiki atleat wawezakuenda sawa na sheria lakinimioyo yao haipo hivo,nenda kahudhurieLecture zaHistory ndo utaijua MUM
tabia NI TABIA TU NDUGU YANGU,INAMAANA GANI MTU KUVAA HIZO NGUO ALAFU AKITOKA CHUO ANAFANYA UFUSKA?NI BORA TUJUE MOJA KAMA WANAFUNZI WA SAUT HAPO JUU,FREESH KULIKO KUJIFICHA NA NGUO.NAUNGANA NA KYUMANA
 
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture

View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282

Hapo ni ngumu sana kumtambua mtu kama kavaa ile suisaido bomb., huwa naogopa kuwakaribia.
 
Hapo ni ngumu sana kumtambua mtu kama kavaa ile suisaido bomb., huwa naogopa kuwakaribia.
aise tena ile staili ya kuvaa mpaka miguuni na usoni naiogopa kweli maana mtu humjui yupoje.huku maeneo fulani tanki bovu mbezi beach dar kuna jamaa alikamatwa akijifanya mwanamke huku akiwaibia watu simu akiwa katinga vazi hilo
 
aise tena ile staili ya kuvaa mpaka miguuni na usoni naiogopa kweli maana mtu humjui yupoje.huku maeneo fulani tanki bovu mbezi beach dar kuna jamaa alikamatwa akijifanya mwanamke huku akiwaibia watu simu akiwa katinga vazi hilo

Umeona eeh, ndo maana baadhi ya nchi abroad wamepiga marufuku haya makitu kuyavaa. Hapo wanaonekana waadilifu wakati unaweza kuta ni vicheche wa kufa mtu.
 
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.


Molembe niaje mkuu
kimya sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom