Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilicho maanisha hapo ww uangalie watu ambo Mum inawadahili wanavyokuwa na wanafunzi ambao TCU inadahili kwenda kwenye vyuo mbalimbali hata chuo Kikuu cha THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR ( SUZA) Kuna mwaka walijiingiza kwenye TCU baada ya kupelekewa wanafunzi kwa mara ya kwanza tu mwaka wa pili wakajitoa Tatizo kubwa ni maadilli jomba hawa mabinti hawawezi kusoma MUM wata disco Bure
tabia NI TABIA TU NDUGU YANGU,INAMAANA GANI MTU KUVAA HIZO NGUO ALAFU AKITOKA CHUO ANAFANYA UFUSKA?NI BORA TUJUE MOJA KAMA WANAFUNZI WA SAUT HAPO JUU,FREESH KULIKO KUJIFICHA NA NGUO.NAUNGANA NA KYUMANAMaadili ya MUMya kinafiki bwana hao hao waliojifunika wanamegwa sana mitaa ya kihonda kule,njoo huku mitaa ya Mazimbu huku Ipoipo mbona wanafichwa sana kwenye vichemba.Hizo nguo zisikudanganye kuwa kuna maadili hamna kitu hapo,nenda fielduonewanafunzi wa MUM wanavoishikinafiki atleat wawezakuenda sawa na sheria lakinimioyo yao haipo hivo,nenda kahudhurieLecture zaHistory ndo utaijua MUM
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture
View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282
aise tena ile staili ya kuvaa mpaka miguuni na usoni naiogopa kweli maana mtu humjui yupoje.huku maeneo fulani tanki bovu mbezi beach dar kuna jamaa alikamatwa akijifanya mwanamke huku akiwaibia watu simu akiwa katinga vazi hiloHapo ni ngumu sana kumtambua mtu kama kavaa ile suisaido bomb., huwa naogopa kuwakaribia.
aise tena ile staili ya kuvaa mpaka miguuni na usoni naiogopa kweli maana mtu humjui yupoje.huku maeneo fulani tanki bovu mbezi beach dar kuna jamaa alikamatwa akijifanya mwanamke huku akiwaibia watu simu akiwa katinga vazi hilo
tcu sio wajinga
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.
Ukila nyama ya mtu utakula tu.
Dhambi ya ubaguzi!
Module Mkuu wakati mwingine nashinda kule MMU kupunguza stress.