AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Morogoro Muslim University ni chuo kinachofundisha kwa kufuata mashriti yote ya tume ya vyuo vikuu (TCU) huku kikifuata mafundisho na maadili ya kiislam (Hadithi na Sunna). Binafsi naunga mkono uamzi wao wa kutojiunga na TCU maana kwa kufanya hivo wameepuka kudahili wanfunzi wengi wauza sura,wabana pua,wavaa milegezo na nusu uchi. Ogopa sana jamii inayopokea wahitimu wa aina mbili; Wavaa Milegezo na Wakaa uchi.
Nadhani MUM malengo yake ni kudahili wanafunzi wengi zaidi wa Kiislamu (Priority) wengine hawa wanakuja tu kubalance,kwa maana hiyo kaupendeleo kwa waislamu kapo.Ila ukishakuwa admitted pale hawana ubaguzi wowote katika maendeleo yako ya taaluma ilimradi unafuata masharti yao ya chuo.Ukishakuwaadmitted usitegemee kubebwa kwa uislamu wako unaliwa kichwa kama kawa ukifanya uzembe
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.
Morogoro Muslim University ni chuo kinachofundisha kwa kufuata mashriti yote ya tume ya vyuo vikuu (TCU) huku kikifuata mafundisho na maadili ya kiislam (Hadithi na Sunna). Binafsi naunga mkono uamzi wao wa kutojiunga na TCU maana kwa kufanya hivo wameepuka kudahili wanfunzi wengi wauza sura,wabana pua,wavaa milegezo na nusu uchi. Ogopa sana jamii inayopokea wahitimu wa aina mbili; Wavaa Milegezo na Wakaa uchi.
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.
Sasa wakidahili kwa TCU wanachuo wa pale wote si hawata kidhi vigezo ndo maana wanabebwa tu na madhara yake wagalatia watakuwa wengi kushinda vibarakashia.
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture
View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282
ZIFUATAZO NI PICHA ZA WANAFUNZI WA SAUT MWANZA
View attachment 145283
View attachment 145284
hapa wapo ktk lecture na hapo juu wapo ktk sherehe
sasa kwa mtizamo hapo unaweza ukafahamu kwann Mum haitaki na haitotaka kudailiwa na TCU
vile sheria za hapo Mum kwa mtu ambaye anatabia kama za kufavaa nusu uchi au uzinzi huwa ana DISCO mazingira haya sio rahisi kwa wanafunzi wengi kuyaweza
Mum ni tofaut na vyuo vingne tanzania,inajenga watu katika nyanja zote za maisha ww unaesema wanaubaguz uliwah kuomba ukasome pale ukanyimwa nafac?acha utaratib wao uwe ivoivo hatakaopelekwa mum bila ridhaa yao i believ watarud ndan ya mwez mmoja tu mum hawaangalii sura ukichemka ni kwenu hakuna kusubr kila mwaka ndo disco kila semister ukishindwa kupata gpa ya 2 na kuendelea kwenu,na ukishindwa kufuata mashart ya pale kwenu,mimba aut of marrg kwenu,unashikana na watoto wa kike kwenu yan ni ful sheria we mwenyew ukipekwa utaomba urud
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture
View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282
ZIFUATAZO NI PICHA ZA WANAFUNZI WA SAUT MWANZA
View attachment 145283
View attachment 145284
hapa wapo ktk lecture na hapo juu wapo ktk sherehe
sasa kwa mtizamo hapo unaweza ukafahamu kwann Mum haitaki na haitotaka kudailiwa na TCU
vile sheria za hapo Mum kwa mtu ambaye anatabia kama za kufavaa nusu uchi au uzinzi huwa ana DISCO mazingira haya sio rahisi kwa wanafunzi wengi kuyaweza
Nilicho maanisha hapo ww uangalie watu ambo Mum inawadahili wanavyokuwa na wanafunzi ambao TCU inadahili kwenda kwenye vyuo mbalimbali hata chuo Kikuu cha THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR ( SUZA) Kuna mwaka walijiingiza kwenye TCU baada ya kupelekewa wanafunzi kwa mara ya kwanza tu mwaka wa pili wakajitoa Tatizo kubwa ni maadilli jomba hawa mabinti hawawezi kusoma MUM wata disco Burehio sio sababu toshelezii mkuu...!
Hivi mbona mum dini zote wapo tatizo nn?