MUM idahili toka tcu.

MUM idahili toka tcu.

Morogoro Muslim University ni chuo kinachofundisha kwa kufuata mashriti yote ya tume ya vyuo vikuu (TCU) huku kikifuata mafundisho na maadili ya kiislam (Hadithi na Sunna). Binafsi naunga mkono uamzi wao wa kutojiunga na TCU maana kwa kufanya hivo wameepuka kudahili wanfunzi wengi wauza sura,wabana pua,wavaa milegezo na nusu uchi. Ogopa sana jamii inayopokea wahitimu wa aina mbili; Wavaa Milegezo na Wakaa uchi.
 
Mkuu wauza sura kivipi,wanajuaje kuwa huyu muuza sura na huyu sio muuza sura katika process ya selection? Au majina ndo yanaonesha wauza sura.
 
Nadhani MUM malengo yake ni kudahili wanafunzi wengi zaidi wa Kiislamu (Priority) wengine hawa wanakuja tu kubalance,kwa maana hiyo kaupendeleo kwa waislamu kapo.Ila ukishakuwa admitted pale hawana ubaguzi wowote katika maendeleo yako ya taaluma ilimradi unafuata masharti yao ya chuo.Ukishakuwaadmitted usitegemee kubebwa kwa uislamu wako unaliwa kichwa kama kawa ukifanya uzembe

ni kweli, ila kuna vitu huwa vinaji'set automatic, hasa ukizingatia kwenye chuo kama kile sio rahisi kukuta wasio waislam ni wengi kuliko waislam.

Hiyo hufanya dhana ya ubaguzi kutokuewepo.
 
Mum ni tofaut na vyuo vingne tanzania,inajenga watu katika nyanja zote za maisha ww unaesema wanaubaguz uliwah kuomba ukasome pale ukanyimwa nafac?acha utaratib wao uwe ivoivo hatakaopelekwa mum bila ridhaa yao i believ watarud ndan ya mwez mmoja tu mum hawaangalii sura ukichemka ni kwenu hakuna kusubr kila mwaka ndo disco kila semister ukishindwa kupata gpa ya 2 na kuendelea kwenu,na ukishindwa kufuata mashart ya pale kwenu,mimba aut of marrg kwenu,unashikana na watoto wa kike kwenu yan ni ful sheria we mwenyew ukipekwa utaomba urud
 
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.

FYI: Wanadahili kutoka madrasa. Inatosha
 
Sasa wakidahili kwa TCU wanachuo wa pale wote si hawata kidhi vigezo ndo maana wanabebwa tu na madhara yake wagalatia watakuwa wengi kushinda vibarakashia.
 
Morogoro Muslim University ni chuo kinachofundisha kwa kufuata mashriti yote ya tume ya vyuo vikuu (TCU) huku kikifuata mafundisho na maadili ya kiislam (Hadithi na Sunna). Binafsi naunga mkono uamzi wao wa kutojiunga na TCU maana kwa kufanya hivo wameepuka kudahili wanfunzi wengi wauza sura,wabana pua,wavaa milegezo na nusu uchi. Ogopa sana jamii inayopokea wahitimu wa aina mbili; Wavaa Milegezo na Wakaa uchi.

Jamii ya watu wastaarabu hupima hekima za mawazo yao kwa kutazama mda na mabadiliko ya matukio ndani ya jamii husika na sio katika kulinganisha na jamii jirani, mungu aliye dhaifu hupiganiwa na watu wake bali Mungu aliye mkuu huwapigania watu wake.
 
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY N.K vyuo vyote hivyo pamoja na vya serikali vimekuwa vikifanya udahili toka tume ya vyuo Vikuu ya TCU iweje MUM wafanye udahili kwenye chuo chao wenyewe huu ni ubaguzi wa wazi na kujaribu kuturudisha miaka 100 nyuma kwani wanahofia nini mpaka udahili usifanywe na TCU je, huu sio udini na mbona vyuo vya wakristo udahili hufanywa na TCU na watu huchaguliwa bila kujali dini iweje kwa MUM tu? Ukienda vyuo vya Saut kila chuo kimetenga jengo kama Msikitini ili wanafunzi waislamu wapate sehemu ya kuswalia je,iweje MUM ishindwe kudahili wanafunzi toka TCU kama vyuo vingine wanafundisha nini ambacho dini hawezi kujua.

ht kama watajitenga hao waislamu na chuo chao,bado wakristo tupo juu katika nyanja mbalimbali za kielimu,kisiasa,kimichezo n.k.
 
aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea. ukiwaza unabakwa utabakwa kweli.
 
Sasa wakidahili kwa TCU wanachuo wa pale wote si hawata kidhi vigezo ndo maana wanabebwa tu na madhara yake wagalatia watakuwa wengi kushinda vibarakashia.

asiyekidhi vigezo ataendeleje na masomo sasa, wakati baada ya udahili pale chuoni lazima uhakiki wa waliodahiliwa ufanyike TCU.

Watu kwa kujitoa akili.
 
hivi mtu na akili yako timamu unaenda kusoma MUM!!???
 
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
i index 3.jpg hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture

index 2.jpg
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
images4.jpg

ZIFUATAZO NI PICHA ZA WANAFUNZI WA SAUT MWANZA
images2e.jpg

images 5.jpg
hapa wapo ktk lecture na hapo juu wapo ktk sherehe
sasa kwa mtizamo hapo unaweza ukafahamu kwann Mum haitaki na haitotaka kudailiwa na TCU
vile sheria za hapo Mum kwa mtu ambaye anatabia kama za kufavaa nusu uchi au uzinzi huwa ana DISCO mazingira haya sio rahisi kwa wanafunzi wengi kuyaweza
 
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture

View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282

ZIFUATAZO NI PICHA ZA WANAFUNZI WA SAUT MWANZA
View attachment 145283

View attachment 145284

hio sio sababu toshelezii mkuu...!
 
Mum ni tofaut na vyuo vingne tanzania,inajenga watu katika nyanja zote za maisha ww unaesema wanaubaguz uliwah kuomba ukasome pale ukanyimwa nafac?acha utaratib wao uwe ivoivo hatakaopelekwa mum bila ridhaa yao i believ watarud ndan ya mwez mmoja tu mum hawaangalii sura ukichemka ni kwenu hakuna kusubr kila mwaka ndo disco kila semister ukishindwa kupata gpa ya 2 na kuendelea kwenu,na ukishindwa kufuata mashart ya pale kwenu,mimba aut of marrg kwenu,unashikana na watoto wa kike kwenu yan ni ful sheria we mwenyew ukipekwa utaomba urud

Kama maisha yako yote umepitia seminari za kikristo kupata MUM ni asilimia ndogo
 
Mimi binafsi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha waislamu Morogoro (MUM) chuo hiki kinafuata maadili ya kiislamu kwa Tz hakuna chuo chenye wanafunzi wenyemaadili kuliko chuo cha Mum kwa mfana ktk suala la mavazi wanafunzi wachuo na vaa hiv
iView attachment 145279 hapa wanafunzi wapo ktk jengo la ICT wakisikiliza lecture

View attachment 145280
hapa wanafunzi wakiwa ktk Discussion
View attachment 145282

ZIFUATAZO NI PICHA ZA WANAFUNZI WA SAUT MWANZA
View attachment 145283

View attachment 145284
hapa wapo ktk lecture na hapo juu wapo ktk sherehe
sasa kwa mtizamo hapo unaweza ukafahamu kwann Mum haitaki na haitotaka kudailiwa na TCU
vile sheria za hapo Mum kwa mtu ambaye anatabia kama za kufavaa nusu uchi au uzinzi huwa ana DISCO mazingira haya sio rahisi kwa wanafunzi wengi kuyaweza

Maadili ya MUMya kinafiki bwana hao hao waliojifunika wanamegwa sana mitaa ya kihonda kule,njoo huku mitaa ya Mazimbu huku Ipoipo mbona wanafichwa sana kwenye vichemba.Hizo nguo zisikudanganye kuwa kuna maadili hamna kitu hapo,nenda fielduonewanafunzi wa MUM wanavoishikinafiki atleat wawezakuenda sawa na sheria lakinimioyo yao haipo hivo,nenda kahudhurieLecture zaHistory ndo utaijua MUM
 
hio sio sababu toshelezii mkuu...!
Nilicho maanisha hapo ww uangalie watu ambo Mum inawadahili wanavyokuwa na wanafunzi ambao TCU inadahili kwenda kwenye vyuo mbalimbali hata chuo Kikuu cha THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR ( SUZA) Kuna mwaka walijiingiza kwenye TCU baada ya kupelekewa wanafunzi kwa mara ya kwanza tu mwaka wa pili wakajitoa Tatizo kubwa ni maadilli jomba hawa mabinti hawawezi kusoma MUM wata disco Bure
 
Back
Top Bottom