MUM idahili toka tcu.

Kwani kuna mkristo aliyeomba na ana vigezo akakosa au unadhani hakuna wakristo wanaosoma........naomba jibu
 
udini upo au haupo hapo mum?
kuhusu nidhamu mpo njema....!
 
tabia NI TABIA TU NDUGU YANGU,INAMAANA GANI MTU KUVAA HIZO NGUO ALAFU AKITOKA CHUO ANAFANYA UFUSKA?NI BORA TUJUE MOJA KAMA WANAFUNZI WA SAUT HAPO JUU,FREESH KULIKO KUJIFICHA NA NGUO.NAUNGANA NA KYUMANA
 
Hapo ni ngumu sana kumtambua mtu kama kavaa ile suisaido bomb., huwa naogopa kuwakaribia.
 
Hapo ni ngumu sana kumtambua mtu kama kavaa ile suisaido bomb., huwa naogopa kuwakaribia.
aise tena ile staili ya kuvaa mpaka miguuni na usoni naiogopa kweli maana mtu humjui yupoje.huku maeneo fulani tanki bovu mbezi beach dar kuna jamaa alikamatwa akijifanya mwanamke huku akiwaibia watu simu akiwa katinga vazi hilo
 
Umeona eeh, ndo maana baadhi ya nchi abroad wamepiga marufuku haya makitu kuyavaa. Hapo wanaonekana waadilifu wakati unaweza kuta ni vicheche wa kufa mtu.
 
Molembe niaje mkuu
kimya sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…