Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Watanzania Kwa Vimaneno Bwana ! Eti 'Anayedaiwa kumuua Mkewe!'....Sasa ' Anayedaiwa' na nani??
Kwa Nini haisemwi TU 'Aliyeemua Mkewe!' Eti 'Anayedaiwa Kumuua Mkewe!'....Unafiki Kwa kwenda Mbele!!
 
Yawezekana Huyu Manzi alikta Tiketi ya Kwenda kwenye Show ya Diamond bila Kumwambia Mmewake
Tunaweza kupata picha yake (marehemu) akiwa kwenye show ya Diamond? Pia twaweza kupata picha akiwa anapamba maharusi kama inavyodaiwa?. Lengo kuepusha kumsingizia Marehemu.
 
Watanzania Kwa Vimaneno Bwana ! Eti 'Anayedaiwa kumuua Mkewe!'....Sasa ' Anayedaiwa' na nani??
Kwa Nini haisemwi TU 'Aliyeemua Mkewe!' Eti 'Anayedaiwa Kumuua Mkewe!'....Unafiki Kwa kwenda Mbele!!
Utasemaje ameuwa ilihali wewe siyo eye witness? Ulimuona akiuwa?

Hujawahi kuziona conspiracy theory wewe.

Unakijuwa kisa cha Makaveli?
 
Sio rahisi kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…