Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mwanamke mzuri ni wa sterehe tuu full stop,unaoa mwanamke anatongozwa na kila mwanaume na kama hajielewi basi kila mtu anajipigia tuu
Kwa hiyo unakubali kuwa kuna wanawake wazuri na wanajielewa na wanaweza kuwa wake wazuri tu?
 
Ugonjwa wa akili tu, mbona Adam alimsamehe Hawa maisha yakaendelea huyo Said alishindwa nini kuachanana na Salha na maisha yakaendelea.
 
Nashukuru sana brother. Nimesoma comments nyingi humu 99% zinaonyesha ubabe lakini nadhani wengi wao hata ndoa hawana. Lakini tuendelee kuwashauri
Ni kweli mkuu atakae barikiwa na ushauri auchukue ili umnufaishe siku zote za maisha yetu hapa duniani
 
Mambo mengine ni ya kujitakia, kabla hujaoa jiulize mambo ambayo yatakuongoza kumpata mtu sahihi, kila mwanamke ana kasoro zake ila wanatofautiana, hayo yanawakuta watu wasio kuwa makini unaishi na mwanamke alieachika kweli una sound mind?
Unadhani kila ndoa iliyowahi kuvunjika tatizo ni mwanamke?
 
Ni kwasababu ya mahari tu?

Kwamba mke awe mtumwa tu.

Hebu tujaribuni kuondoa hii nature isiyo na manufaa kwa ustawi I a mahusiano.

Mke na mume wasikilizane
Unatakiwa kuanza kuiondoa katika family stage. With time wengine, hasa vizazi vyako vitafuata.
 
Hao wanawake wakitaka kuzitafuta baadhi yenu mnawawekea kauzibe. Halafu sasa hivi mnawananga. Hamuwatendei haki dada zetu. Jaribuni kuwa fair.
Nyuma yao huwa **** sponsors ambao ni vibopa wa kiume, hao wote uaowaona mbele ya media kama super womens sijui wapambanaji wengi wao wanaoperate kwa mitaji ya vibopa wao.

Kwa Tz hapa, wanawake ambao wamejisimamia wao from the scratch ni wachache sana.
 
Nyuma yao huwa **** sponsors ambao ni vibopa wa kiume, hao wote uaowaona mbele ya media kama super womens sijui wapambanaji wengi wao wanaoperate kwa mitaji ya vibopa wao.

Kwa Tz hapa, wanawake ambao wamejisimamia wao from the scratch ni wachache sana.
Hii ni kweli kabisa!! Hata wanawake wanaotetea baadhi ya vitu humu wanaujua huo ukweli
 
Itakua ujapata taarifa zaid, kilchotokea ni mkusanyiko wa makosa aliokua akimfanyia mume wke, kma ilvo kwa matukio mengine, tatzo lenu nyiny wanawake weng hamjielew na ni akil za panz mnataka maisha mazur na mtu wakua nae mda wote, msaka hela uwez kua nae muda wote so mnaamua ktoka nje,.. ukpenda hela zake kubaliana na yote.

Kwanini unatetea uhalifu? Vyoyote itakavyokua bado haimuhalalishi kumuua. Unatete muuaji kisa aliyeuliwa alikua na vituko vya kawaida vya kibinaadamu? kama alimuona hamuelewi alishindwaje kumuacha?
 
Huyu nae alikuwa anatwerk huku mwanaume anachezea mzigo. Clip imevuja mpaka wa jamaa yake . Kaishia kucheza Shaba ya kichwa. Video yake sio nzuri sana kuiupload. (Tukio ni la muda kidogo)View attachment 2251535
Screenshot_20220602-205746.jpg

View attachment 2251537
 
Kwanini unatetea uhalifu? Vyoyote itakavyokua bado haimuhalalishi kumuua. Unatete muuaji kisa aliyeuliwa alikua na vituko vya kawaida vya kibinaadamu? kama alimuona hamuelewi alishindwaje kumuacha?
umekurupuka,kwenye maelezo yngu yote hakuna maneno ambayo yanasema natetea uhalifu, mkazo niliouweka ni kua ikiwa umezipenda hela zake basi heshimu hela pamoja na ubize wake wakuztafuta izo hela pasipo na kutoka nje.
 
Mimi ndani kwangu mbali na kutokaa silaha hata panadol siitaki ndani kwangu! Ni muhanga wa matukio mengi ya silaha na dawa

Mwizi ama jambazi akiyakanyaga silaha yake ndio ntaruka nayo, kwanza huwa narukwa na akili nikiona mtu kaninyooshea silaha! Iwe kisu au chupa kazi ataipata akiwa kaishika hiyo silaha
 
Back
Top Bottom