Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Kwa hiyo unakubali kuwa kuna wanawake wazuri na wanajielewa na wanaweza kuwa wake wazuri tu?Mwanamke mzuri ni wa sterehe tuu full stop,unaoa mwanamke anatongozwa na kila mwanaume na kama hajielewi basi kila mtu anajipigia tuu
Muache MUNGU anihukumu na usimshawishi 😂😂Unakufuru uumbaji wa Mungu eeh?? Hujafa hujaumbika.
Mbona hao ni watu wawili tofauti?!!Mbona uno lake zito sana.! Ndio wa kusababisha mtu ajipige gun huyu!!
Ni kweli mkuu atakae barikiwa na ushauri auchukue ili umnufaishe siku zote za maisha yetu hapa dunianiNashukuru sana brother. Nimesoma comments nyingi humu 99% zinaonyesha ubabe lakini nadhani wengi wao hata ndoa hawana. Lakini tuendelee kuwashauri
Unadhani kila ndoa iliyowahi kuvunjika tatizo ni mwanamke?Mambo mengine ni ya kujitakia, kabla hujaoa jiulize mambo ambayo yatakuongoza kumpata mtu sahihi, kila mwanamke ana kasoro zake ila wanatofautiana, hayo yanawakuta watu wasio kuwa makini unaishi na mwanamke alieachika kweli una sound mind?
😄😄😄😄😄😃😃😀😀aise hii si golden chance hii!! ngoja nijaribu bahati yangu !! joannah ,unaonaje tuyajenge ,huenda mm ndo chemistry wako kindakindaki!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kuanza kuiondoa katika family stage. With time wengine, hasa vizazi vyako vitafuata.Ni kwasababu ya mahari tu?
Kwamba mke awe mtumwa tu.
Hebu tujaribuni kuondoa hii nature isiyo na manufaa kwa ustawi I a mahusiano.
Mke na mume wasikilizane
Nyuma yao huwa **** sponsors ambao ni vibopa wa kiume, hao wote uaowaona mbele ya media kama super womens sijui wapambanaji wengi wao wanaoperate kwa mitaji ya vibopa wao.Hao wanawake wakitaka kuzitafuta baadhi yenu mnawawekea kauzibe. Halafu sasa hivi mnawananga. Hamuwatendei haki dada zetu. Jaribuni kuwa fair.
Hii ni kweli kabisa!! Hata wanawake wanaotetea baadhi ya vitu humu wanaujua huo ukweliNyuma yao huwa **** sponsors ambao ni vibopa wa kiume, hao wote uaowaona mbele ya media kama super womens sijui wapambanaji wengi wao wanaoperate kwa mitaji ya vibopa wao.
Kwa Tz hapa, wanawake ambao wamejisimamia wao from the scratch ni wachache sana.
Itakua ujapata taarifa zaid, kilchotokea ni mkusanyiko wa makosa aliokua akimfanyia mume wke, kma ilvo kwa matukio mengine, tatzo lenu nyiny wanawake weng hamjielew na ni akil za panz mnataka maisha mazur na mtu wakua nae mda wote, msaka hela uwez kua nae muda wote so mnaamua ktoka nje,.. ukpenda hela zake kubaliana na yote.
Doh too graphicHuyu nae alikuwa anatwerk huku mwanaume anachezea mzigo. Clip imevuja mpaka wa jamaa yake . Kaishia kucheza Shaba ya kichwa. Video yake sio nzuri sana kuiupload. (Tukio ni la muda kidogo)View attachment 2251535View attachment 2251536
View attachment 2251537
umekurupuka,kwenye maelezo yngu yote hakuna maneno ambayo yanasema natetea uhalifu, mkazo niliouweka ni kua ikiwa umezipenda hela zake basi heshimu hela pamoja na ubize wake wakuztafuta izo hela pasipo na kutoka nje.Kwanini unatetea uhalifu? Vyoyote itakavyokua bado haimuhalalishi kumuua. Unatete muuaji kisa aliyeuliwa alikua na vituko vya kawaida vya kibinaadamu? kama alimuona hamuelewi alishindwaje kumuacha?
DaahHuyu nae alikuwa anatwerk huku mwanaume anachezea mzigo. Clip imevuja mpaka wa jamaa yake . Kaishia kucheza Shaba ya kichwa. Video yake sio nzuri sana kuiupload. (Tukio ni la muda kidogo)View attachment 2251535View attachment 2251536
View attachment 2251537