miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
Au uongo mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au uongo mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Machaguo yenu ndio mabovu,si mnapenda masista duu nyie ndo mana moto unawawakia. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke zingatieni hilo.Punguzeni tamaa na nyinyi, kama mwanaume haujamuelewa mchane apite kishoto na hela zake sio mnakubali tu uli mchume pesa kwa kigezo cha "akikushindwa akuteme"
Nawe muheshimu mkeo, nyie ni familia, kwanini muwe familia afu ufanye vitu kibinafsi??Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Afdhali wewe umeutambua uhalisia wa maisha ya kiafrika "mwanamke atabaki kuwa chini ya mwanaume", ila sasa wanawake wengi wameharibiwa na tamthlia za wazungu kiasi kwamba utamaduni wa kule wanataka kuuleta afrika.
Kama huwezi kuwa chini ya mwanaume kwanini ukubali ndoa wakati kama ni kutombw utatombw tu hata bila ndoa? Na kama ni mtoto unaweza kupata bila hata ndoa, JIBU linakuja kwamba wengi huolewa kutafuta uahueni wa maisha.
Umeolewa????Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
[emoji419]Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Unatoa mifano rahisi kwa ishu complex. Unaongea as if unaishi Mars. Kuna baadhi ya scenarios I choose not to comment kwavile story zinazotufikia zinakuwa zipo nusu. Ila penye hasira control inapoteaga, hapo unaweza Kuta wote walikuwa na hasira, huyu zikamtuma kujibu shit, mwingine zikamtuma kuitumia bastola.Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Na wewe unaonekana una kiburi tutakupiga risasiKama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....
usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!
Umemchoka ni bora mkaachana...
Kwenye hayo mahojiano ya Millard Ayo na mama wa marehemu inaonyesha binti aka marehemu aliondoka nyumbani toka alhamisi kwenda Shinyanga kumfanyia mtu make-up...tatizo likawa kurudi sasa mara leo mara kesho.....
Inaonekana shida kubwa ni wivu wa mapenzi hapo.....kuna mmoja alimpenda mwenzie kupita kiasi kama malaika...hapo ndio shida ilipoanzia..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake hawa noma sanaa... Sema wengi wao maneno tuu ila mwanaume akisema Nakuua jua mwanamke ipo siku atauliwaa kweliii..Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo la Kumilikisha Silaha VichaaWakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti MzuriView attachment 2243941
View attachment 2243573
View attachment 2243574
Yaani unataka ujinga wa fala mmoja ndioo utafanye tusikamatie pisi kali....wee tena mishangingi kama hiyo inajua kucheza na de libolo hatari.Nyie si mnawataja maslay queen wa kuuzia sura maskani wenye sura za baba zetu hamtutaki wacha yawakute
Ndiyo tatizo la kuoa MADANGAJIHuyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani alianza kufa kabla ya show? Inawezekana alisimulia wenzakeKama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
Msome vizuri jamaa inawezekana huyo marehemu demu kuhudhiria shows was a front alikuwa na mambo mengine ndani ya show .Kuna kidume kinahusika hapo na utovu wa adamu wa marehemu pisikaliShow ni sababu iliyofanya kikombe cha hasira za jamaa kijae hatimae, kuna uwezekano mkubwa huko nyuma jamaa alisumbuka na vingi sana juu ya huyo mwanamke.
Wanaowapata bata wanawaheshimu kuliko waume zao!hivyo ni vihuni vimeamua tu kuji upgrade kwa kuolewaNa unakuta independently hawawezi ku-afford hizo bata, wanategemea jasho la haohao wanaume wanaowadharau.
Kwanini wasile chuma sasa.