Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Nawe muheshimu mkeo, nyie ni familia, kwanini muwe familia afu ufanye vitu kibinafsi??
 

Muhimu ni kujitambua,ndoa ni sacrifice haiwezekani uingie ndoani na uishi kama single lazima mtashindwana tu...

Lakini ni muhimu kabla ya ndoa uhakikishe umemaliza bata zote na unaingia ndoani kutulia.
Una focus project za familia nk huwezi kupata muda wa kwenda show za diamond nk
Ndoa inahitaji ukomavu wa pande zote mbili
 
Umeolewa????
 
[emoji419]
 
either upende hela halafu utulie hata kama ulidhishwi au uachane na hela za watu uende kwa atakayekuridhisha...

masista du wanapenda good life ambalo wenyewe hawana, wakipata penye hela tena wanaleta nyodo baada ya utulivu...
 
Unatoa mifano rahisi kwa ishu complex. Unaongea as if unaishi Mars. Kuna baadhi ya scenarios I choose not to comment kwavile story zinazotufikia zinakuwa zipo nusu. Ila penye hasira control inapoteaga, hapo unaweza Kuta wote walikuwa na hasira, huyu zikamtuma kujibu shit, mwingine zikamtuma kuitumia bastola.
 

Rusha hiyo link tuone
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake hawa noma sanaa... Sema wengi wao maneno tuu ila mwanaume akisema Nakuua jua mwanamke ipo siku atauliwaa kweliii..

Anyway kwenye hii kesi nilichokiona inawezekana kwa wanaume asilimia kubwa wangefanya hayaa kama una silahaa na mwanamke anakudharau na kuleta nyodo hasiraa huwaga haziwi mbalii.. Ni bora sasa awe na mipaka ya manenoo otherwise ni hatarii sanaa...!! Unaweza jikutaa tu umepiga mtu risasiii. Siafikii kilichofanyikaa sio sawaa ilaa ndio nature ya maamuzi ya mwanaume akiwa na hasiraa nadhani mnakumbuka kesi ya UFO SAROOO
 
Tatizo la Kumilikisha Silaha Vichaa
 
Nyie si mnawataja maslay queen wa kuuzia sura maskani wenye sura za baba zetu hamtutaki wacha yawakute
Yaani unataka ujinga wa fala mmoja ndioo utafanye tusikamatie pisi kali....wee tena mishangingi kama hiyo inajua kucheza na de libolo hatari.

Ata nyie wenye sura personal mkishawekwa ndani tuu mnaanza kuleta nyodo na wanaume tulivyo wadadisi, kuna njemba zitaanza kukutongoza ili zijue inakawaje jamaa kaweka ndani huyu mwanamke. So ata sura personal wanagegedwa tuu.
 
Show ni sababu iliyofanya kikombe cha hasira za jamaa kijae hatimae, kuna uwezekano mkubwa huko nyuma jamaa alisumbuka na vingi sana juu ya huyo mwanamke.
Msome vizuri jamaa inawezekana huyo marehemu demu kuhudhiria shows was a front alikuwa na mambo mengine ndani ya show .Kuna kidume kinahusika hapo na utovu wa adamu wa marehemu pisikali
 
Karne hii kupata mwanamke akakuheshimu, kukutii na kukusikiliza ni baraka kubwa kuliko zote. Na nyumba ya namna hiyo hata maendeleo yanakuja fasta sana.

Hizi pisi zenye makalio makubwa sana, sura za kipekee sana na mwili mzuri sana huwa zimenyimwa hivyo vitu, utii na heshima.

Mwamba kaona amwage kila kitu hadi ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…