Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Tuleteeni kisa kamili tuelewane vizuri
 
Ushauri mzuri kwa wanaume wanaojielewa.

Ila mzeya threesome ipo addictive. Mie hela zangu zote zinaisha kwenye hiyo mkuu. Sasa nipo katika harakagi ya kusaka orgy
Hayo ndo maisha, wacha wafu wapigane risasi na sisi wengine tuendelee kupiga threesome, uko jela twende katika harakati za kusaka pesa tu lakini sio katika kesi kama hizi
 
Tumekuelewa muhenga[emoji41]
 
Na wwe Mwanamke olewa na Mwanaume mnaendanaa nae!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Machaguo yenu ndio mabovu,si mnapenda masista duu nyie ndo mana moto unawawakia. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke zingatieni hilo.
Wekeni basi hayo mabango ya matangazo ya kumjua Mwanamke anaefaa kua Mke, badala ya sisi Wanaume kuendelea kubahatisha Mke ni yupi maana Wanawake ni wengi sana!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
kwa akili yako inabidi tu usiolewe maana hao 'zero brain' watakumaliza.
 
Acha chuma zilie tu madhali timu pinzani wameshaamua kuishi nje ya system ya kimaadili kumbe watu wafanyeje!?

Out of topic,risasi saba?mbona jamaa amepata hasara kubwa kiasi hiko au mkaa gunia Mwanza nako bei imepanda?
 
Ila pia tusimhukumu sana Mwanadada pia tumuangilie na Mwanamume...Wakati anaoa alioa mwanamke wa namna gani? kama alijua anaoa mwanamke ambaye aliamini ataweza kumtuliza na bado hatuliziki kwanini asimrudishe tu kwao kwa kumpa talaka na kila mtu akaendelea na maisha yake?..

Kama alioa mwanamke mtulivu na ghafla akabadirika, pia alipaswa kutafakari na kuangalia shida iko wapi baina yake na yeye...

Wakati tunahukumu ni vizuri pia kujiasses wenyewe kabla hatujachukua maamuzi, unaweza kuua au kutoa talaka kumbe chanzo ni mwenyewe au tatizo linalekebishika....

Kama demu alikuwa kicheche kama inavyosemwa humu basi suluhu ilikuwa kuachana naye apambane na dunia yake... Hawa huwa ni suala la muda tu wakishazoeleka mjini na kuchokwa aka magari ya mkaa huwa wanapigika na kutafuta yeyote yule wahifadhiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…