Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
nimeshangaa taarifa ya awali inasema alienda kwenye show ya diamond alafu taarifa ya shigongo inasema mpira.Ndio kwenda kwenye mpira bila ruhusa ya mume ndio chanzo cha yte. Hayo mengine tena ndio yakafuatia
Mpira tena? Ndio shida ya stori za kuletewa.nimeshangaa taarifa ya awali inasema alienda kwenye show ya diamond alafu taarifa ya shigongo inasema mpira.
Alikua anasambaza upendo sio 😃😃😃View attachment 2244205
huyu mtoto we acha tu.tulio mwanza
Mie huyu badoo nilishamuonaga bwana....sasa naona mwana aliona aweke ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Alikua anasambaza upendo sio 😃😃😃
Duhh [emoji848][emoji848]RIP dada mzuri,
Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.
Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.
Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.
Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.
Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.
Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.
RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
Huko badoo inaweza kuwa ni mtu ameamua tu kutumia picha yake sio yeyeMie huyu badoo nilishamuonaga bwana....sasa naona mwana aliona aweke ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Wee achan kabisa na hiyo rangi ya chai maziwa...akifunulia upaja utapagawa....au wee hujaona upaja wa mahondaw 🤣🤣🤣🤣Wasukuma wamelogewa rangi nyeupe, ushamba utawaua
Wanawake hawapendi wanaangalia maisha yapo wapi simple as that. Sasa wewe jidanganye kuwa wapendwa itakula kwakoRIP dada mzuri,
Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.
Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.
Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.
Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.
Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.
Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.
RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
na inaonekana mume alikuwa anampenda kweliRIP dada mzuri,

Ah wewe hawa wanawake unawajua unawasikia...unaweza mkuta mkeo badoo....wakati wa corona lockdown hizi dating apps tinder badoo zilipata sana new membersHuko badoo inaweza kuwa ni mtu ameamua tu kutumia picha yake sio yeye
Ulipitwa weyemahondaw kaweka picha ya beyonce
Hatare tupu yaan.Duhh [emoji848][emoji848]
Sasa huku kuuana ndo nn?Wanawake hawapendi wanaangalia maisha yapo wapi simple as that. Sasa wewe jidanganye kuwa wapendwa itakula kwako
Mume alizama mazima kwa bidada. Lolna inaonekana mume alikuwa anampenda kweli
Umenikumbusha anty soni yule aliyechorwa mpaka na gazeti la saniDada zetu mkishakuwa na sura nzuri na mishepu huwa mnasumbua sana katika umri fulani lakini at the end huwa mnatia huruma na kuwa bad mentors kwa vijana wadogo wanaochipuki kutokana na frustration za kufanya umalaya na kuachwa hamna kitu....mkipigika sasa mnabaki na stress...
Kuuan ndio kutoa fundisho kuwa kama umeamua kufuata pesa fuata pesa tuu mambo ya kwenda kugawa mbususu nje huko achana nayo.Sasa huku kuuana ndo nn?
Hawa siyo wa kuoa ni kupiga na kuacha,ukisema ujenge kibanda umeumia