Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Samahani wakuu, thread unaenda kwa kazi Sana Sasa huyu jamaa alikuwa anajishughulisha na Nini, majina yake na kwa Sasa msiba upo wapi?
 
nawaza pale unapiga simu haipatikani na kuna ushahidi kwamba uko sehemu na mwanamume mwingine.bora baada ya kugutuka angekipeleka home fasta.
 
Mungu alitoa amri Wanawake muwatii waume zenu.

Mwanamke ukiona huwezi kuwa chini ya mwanaume ni heri usiingie kwenye Ndoa maana ndoa ni kama utumwa fulani hivi na hata Dini zetu zinatufundisha kuwa Mume ndio kichwa. Hivyo ukishindwa kuwa mnyenyekevu na kufuata maagizo yeke hiyo ndoa itakuwa na viashiria vyote vya kutokuwa na furaha, Sonona au ndoa kuja kuvunjika.

Hakuna kitu kinachomuumiza mwanaume kama kujibiwa dharau na mwanamke wake. Dharau inatoa tafsiri wa umepata njemba nyingine inayokusholeza kuliko wewe ndio maana dharau zinaanza.

Wala sishangai kwa hiki kilichomkuta huyu Marehemu tena naona kama jamaa ni muungwana sana maana katumia risasi 7 tu, ingefaa zitumie walau 20 na Gunia la mkaa.

Ndoa iheshimiwe na watu wote. Mbona Bibi zetu waliweza kuwatii Babu zetu Why hawa wa sasa wawe jeuri?. R.I.P Mke jeuri

Pia R.I.P jamaa ambae umeongea kwa vitendo, umetendea haki maagizo ya Mwanaume yaendelee kuheshimiwa. Nakuombea upewe cheo cha malaika huko Mbinguni na mwanaume yeyote anaekuja huko mbinguni kwa staili kama yako umtetee asipelekwe motoni, apangiwe kazi nyepesi na Kula bata kwa sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee lol
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo? umesoma ulichoandika kweli? hata kama mke malaya au sababu yoyote ile ndio humtoe uhai ili iweje? sasa kamuuwa yeye nini alichopata kikubwa kaharibu maisha yake na family yake. Najuwa kuna maudhi yanatokea katika mahisiano na wakati mwingine unampenda sana na inauma lakini sio kumalizana sababu ya mapenzi. Kama walifikia mpaka kufunga ndoa ina maana walipendana ikiwa yametokea haya kutoaminiana huwezi fanya mchakato muachane japo najuwa sio rahisi. So sad ila mwanamme wa kweli hupigi mwanamke move on.
 
mama nae anasema alikuwa kwake

 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata ingekuwa wewe uache kwenda kumuona mondi live Kati huwa tunamsikia kwenye radio tu. Huyo mwanaume hajitambui kwasababu unamzuia mke wako unapata faida gani
 
Majuto yalimuandama akaona nae ajimalize, na hii ishu ya umiliki wa silaha naona vibali vinatolewa kifamba sana kuna watu hawastahili kupewa silaha, watu wana historia mbovu then unakuja mmilikisha silaha
Ukiwa umevurugwa ata kisu ni silaha.Alafu inatakiwa ujue kua watu wanabadilika kulingana na situation anayokutana nayo kwa wakati huo.Swala la msingi ni wanaume kujifunza namna yakuhandle mitafaruku tunayosababishiwa na wanawake.
 
Huyo muuaji kama hajafa akikamatwa afirwxxx tu kwanini aue binti wa watu hata kama amemkosea?
Kila mtu kazaliwa kwao wamekutana juzi kati tu,anamng'ania sana hadi anaua.
Nasema ashikishwe ukuta maisha yake yote.
 
machaguo ni wawili tu..... either unamtafute anayekugonga na kukusuuza moyo ila hana kitu na uachane na hela za watu au unamtafute mwenye hela na uwe mtulivu..

Utagundua wengi wa hawa ndugu zetu ni Tamaa.

Hakuna Mwanaume utamkuta anamiliki hela za wewe kusumbulia mjini halafu akakuridhisha na matamanio yako..... wengi wenye vipato wamewekeza muda wao kwenye utafutaji wa hela na kuset standard za maisha yao hivyo muda wa kukuridhisha wewe unakuwa haupo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…