Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Lakini na nyie kwanini kumzuia mwenzako asiende kwenye shoo kitu roho inapenda?

Kwanini mnataka kusikilizwa nyie tu, kwanini wake zenu hamuwasikilizi?
Ukishaolewa unakuwa chini ya mamlaka ya mume. Kama angekuwa na akili angemshirikisha kwenye jambo hilo mumewe waende wote. Haiwezekani mko kwenye ndoa halafu mke anakuja anakwambia usiku naenda disco naomba ruhusa au nimealikwa kwenye harusi naenda. Ina maana mpk kuchanga alichanga kama yuko single wakati ana mme?

Ukiona ndoa mtu anataka kufanya mitoko peke yake kama yuko single hapo ujue hamna ndoa
 
wapo mabinti wa kuoa ili waje kuwa wake wema na wapo mabinti wa kuwatumia kama chombo cha burudani.

jamaa alioa chombo cha burudani. kila mwanaume alitaka kukitumia kujiburudisha. hapo ndio pressure ya wivu na hofu ya kuibiwa ilipoanzia.
 
Sasa jamani hiki chingereza cha dictionary mie bodaboda nakiwezea wapi.
 
Jamaaa alioa kisa imewika Wala hakuwaza mbele Sana huko na kazi zake. Yeye angemfanya mchepuko basi. Angetafuta wa kawaida aoe. Mie mchepuko wenyewe nikiona Kuna ushindani nauacha fasta Sana Mana Sina energy ya kushindana ku win mbususu.
Nina slogan ya rafiki ya mmoja tulikuwa tukila mbususu kwa mtungo huko kwa Putin kuwa natafuta demu anayetafuta mwanaume basi kwisha kazi
 

Tuelezee na tabia za wanaume pia
 
Unaweza kumpa vyote hivyo na bado asitulie ila ninachoweza kukuhakikishia bwana mzabzab ni kwamba,View attachment 2244263 kuna nguvu kubwa sana ya mapenzi katika kumkojoza mwanamke. Usipokuwa na busara utawakusanya sana.
Bwana ni kweli ukiwa unamkojoza mwanamke kweli ataenda liwa na wanaume wenye pesa but mbususu atailetaga tuu
 
Sasa jamani hiki chingereza cha dictionary mie bodaboda nakiwezea wapi.
Mkuu pole Sana Ila ngoja wapo watatafsiri sio Nia yangu sema haya makitu nimeyasoma kwa lugha iyo iyo.jaribu bana najua ni boda Ila una elimu mbona wapo bachelor wanapiga boda mkuu najua na wewe utakuwa hata una masters sema unazuga kwa boda ama kazi maalumu
 
Wanawake msijisaulise kumbukeni ya kwamba mkiolewa uhuru wako anakuwa nao mme wako.

Pili, kama mtu humtaki ama haukuridhia kuolewa nae mkatae mapema afanye mambo mengine sio unamkubalia mtu unalala kwake, unakula pesa zake then bado unaendelea kufanya makando kando huko nje.

Sheria ni moja tu my house my rules, nje ya hapo ni kutafuta ukilema wa kujitakia, apumzike anapostahili mwanamke jeuri na kaidi asiyekuwa na utii kwa mme wake.
 
Mahala pema au ipumzike inapostahili..?
 
Kundi la binadamu watafuta fursa àmbao akikaa kwako miaka 2 anataka mgawane Kila ulichotafuta Kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…