Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Manzi alikuwa na dharau sanaa...
 
Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Ni asili mwanamke kutawaliwa na mwanaume, kupingana na nature ndo kunazalisha yote haya.

Mheshimu mwanaume unaeamua kuwa nae afu uone kama utakutwa na hata maswaibu, kama humtaki au hujavutiwa nae mkatae mapema wakati ana kutongoza kisha ukatae na pesa zake.
 
Mkuu ukiona anasema hivyo... Suala hilo lipo ndani ya ubongo wake...
Aisee kaa mbali ni hatari sana...
 
Kundi la binadamu watafuta fursa àmbao akikaa kwako miaka 2 anataka mgawane Kila ulichotafuta Kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Huyo marehemu ndio sampuli ya namna hii, aliolewa akavunja ndoa sasa kakutana na kisiki cha kisukuma akasema haiwezekani amemtanguliza mapema kwenda kubusu miguu ya shetani.

Mwanamke mwenye vinasaba vya usaliti na umalaya hapaswi kusamehewa, hata zamani kwenye maandiko wanawake kama hawa walikuwa wakipondwa mawe hadi kifo.
 
Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Naona vijana wa kiume wameamua na kumtia hatiani binti. Adhabu yake ndio hio. Maelezo yenyewe hayaja kaa sawa lakini ajabu wameamua binti ndio mkosaji. Atakapo kamata mengi yanafahamika. RIP binti.
 
Jamaa kenge sana na midevu yake unauaje mtoto mbichi kama huyu??labda jamaa ni wale suruali fupi kaishi pakstan wanabrainwash kwanza ukimuona kwa sura ana miss manegment kichwani nivilw watu huwa awajiulizi
 
...Maelezo wa Mama Mzazi hayaelezi kama Yako kwamba kwenda Kwa Mondi ndio lilikuwa chanzo Cha Mauaji!
Yako umeyatoa Wapi???
 
wapo mabinti wa kuoa ili waje kuwa wake wema na wapo mabinti wa kuwatumia kama chombo cha burudani.

jamaa alioa chombo cha burudani. kila mwanaume alitaka kukitumia kujiburudisha. hapo ndio pressure ya wivu na hofu ya kuibiwa ilipoanzia.
Tatizo lingine ni vijana kuparamia lifestyle ambalo hawaliwezi
Mtu anajua ana wivu halaf anaruhusu mke kufanya shughuli ambazo zinaweza kuhatarisha mahusiano yao eti siku 3 shinyanga kwenda kupodoa watu 😄😄😄
 
We bibie unaakili sana, wenzio wangekuwa km ww haya marisasi yasingekuwepo.
 
Naona kapiga picha kwenye lile roll royce ya mwaka 47

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…