Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga walisema, tamaa mbele mauti nyuma.sishabikii mauaji au aina yoyote ya domestic violence.
ila huyu dada kwa kumtazama haraka haraka,hakuwa wife material.
ni aina ya wale wadada wadangaji ambao wanapenda kushobokea watu maarufu.
roho yake ipumzike mahala pema peponi.View attachment 2244260
Huko ulaya wanaume hawauwi wanawake wajinga?Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Manzi alikuwa na dharau sanaa...Wanawake msijisaulise kumbukeni ya kwamba mkiolewa uhuru wako anakuwa nao mme wako.
Pili, kama mtu humtaki ama haukuridhia kuolewa nae mkatae mapema afanye mambo mengine sio unamkubalia mtu unalala kwake, unakula pesa zake then bado unaendelea kufanya makando kando huko nje.
Sheria ni moja tu my house my rules, nje ya hapo ni kutafuta ukilema wa kujitakia, apumzike anapostahili mwanamke jeuri na kaidi asiyekuwa na utii kwa mme wake.
mama nae anasema alikuwa kwake
Ni asili mwanamke kutawaliwa na mwanaume, kupingana na nature ndo kunazalisha yote haya.Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Mkuu ukiona anasema hivyo... Suala hilo lipo ndani ya ubongo wake...Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo marehemu ndio sampuli ya namna hii, aliolewa akavunja ndoa sasa kakutana na kisiki cha kisukuma akasema haiwezekani amemtanguliza mapema kwenda kubusu miguu ya shetani.Kundi la binadamu watafuta fursa àmbao akikaa kwako miaka 2 anataka mgawane Kila ulichotafuta Kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Naona vijana wa kiume wameamua na kumtia hatiani binti. Adhabu yake ndio hio. Maelezo yenyewe hayaja kaa sawa lakini ajabu wameamua binti ndio mkosaji. Atakapo kamata mengi yanafahamika. RIP binti.Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Jamaa kenge sana na midevu yake unauaje mtoto mbichi kama huyu??labda jamaa ni wale suruali fupi kaishi pakstan wanabrainwash kwanza ukimuona kwa sura ana miss manegment kichwani nivilw watu huwa awajiuliziWakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti Mzuri
==================================
Mama mzazi wa marehemu, Bi Tiba Mohamed anasimulia kilichotokea kuhusu ndoa ya mwanaye na mumewe ambao wamedumu katika ndoa kwa muda wa miezi mitano, kwani walifunga pingu za maisha Desemba 30, 2021.
Anasimulia: “Watoto wangu waliitwa na baba yao hapa nyumbani (Mei 28, 2022), walipofika baba yao akapata dharura hivyo hakuzungumza nao nikabaki nao tukawa tunataniana tu.
“Alikuwa akinitania kwa kufurahi kuwafunga Simba akawa anishawishi na mimi nihamie Yanga (Yanga iliifunga Simba bao 1-0 siku hiyo kwenye CCM Kirumba Mei 28, 2022).
“Baadaye baba yake akapiga simu na kusema mume wa Swalha amepiga simu kumjulisha kuwa amefika na hivyo Swalha aende akampokee Igombe.
“Swalha akasema gari yake haina mafuta, hivyo wakakubaliana wakutane nyumbani na mwanaume akasisitiza kuwa ana njaa sana, akamtaka mke wake aende akampikie.
“Nikawasindikiza hadi barabarani mida ya saa moja usiku, muda huohuo mume wake akapiga simu akiwa anafoka, nikamtaka awe na subira mkewe anakuja yupo njiani.
CHANZO CHA UGOMVI
“Kuhusu ugomvi kati yao labda ni kuhusu simu, Jumatano iliyopita alipata tenda ya kwenda kumpodoa bibi harusi Shinyanga. Alipofika huko wakati akiwa kwenye kazi mume akawa anapigapiga simu, Swalha akawa anamwambia asimpigie kwa kuwa yupo kwenye kazi.
“Ijumaa jioni akawa anamtafuta hivyohivyo na kumsisitiza arudi nyumbani, Ijumaa hiyohiyo jioni akarudi akafika nyumbani usiku, mume akawa anapiga simu, Swalha akapokea na kumwambia anaomba apumzike kwa kuwa amepodoa watu wengi na amesimama muda mrefu hivyo amechoka.
“Mwanaume akawa anaendelea kupiga simu usiku huohuo, Swalha akalala, alikuja kushtuka saa tisa usiku akakuta miss call 42. Akampigia alivyopokea wakaanza kukwaruzana tena, mwanaume akawa analalamika na kumfokea alikuwa wapi na anafanya nini mpaka hapokei simu.
“Swalha alivyoona wanazidi kugombana akaamua kuweka simu pembeni ili ugomvi usiwe mkubwa.
“Asubuhi yake mume wake akanipigia simu na kusema kuwa mke wake amemjibu vibaya. Kwa hiyo ndio akapanga kurudi Mwanza.
“Baba yake alivyomuita hapa nyumbani nadhani alitaka wazungumze kuhusu hilo, lakini ikatokea wamepishana na mume alivyofika nadhani ugomvi utakuwa uliendelea.
KUHUSU KUPIGWA RISASI
“Taarifa ni za kweli, pale ndani (wanapoishi Swalha na mumewe) kulikuwa na watoto watatu wametuambia risasi zilipigwa.
“Wanasema huyo baba alikuwa na kawaida ya kuijaribu silaha yake, mara nyingine anapiga hewani, hivyo walivyosikia mlio wa risasi wakawandelea kulala.
“Ni hadi waliposikia Swalha amepiga kelele mara moja tu lakini risasi zikawa zinaendelea kupigwa. Mtoto mmoja akaenda kusikiliza mlangoni kwa Swalha kisha akatoka mbio kwenda kwa kuwataarifu majirani.
“Wakaenda Polisi, kumbe yule mtoto alivyotoka tu yule baba naye (mume wa Swalha) akaondoka. Polisi walivyofika wakauchukua mwili wa Swalha.
“Taarifa za tukio sisi tulianza kuzipata kutoka Kisiwani huko anapofanyia kazi (mume wa Swalha), ndipo majirani wa Swalha na askari wakaja kutoa taarifa wakisema mwanangu ana hali mbaya ameshambuliwa kwa risasi.
“Baba Swalha akaondoka na ndugu zangu kwenda huko maana nilibaki nyumbani, niliishiwa nguvu baada ya taarifa hizo, nikashindwa kwenda, saa tisa usiku wakarejea na ndipo nikajulishwa kuwa Swalha ameshafariki dunia.
“Marehemu hakuwa na mtoto na sijajua nini kinaendelea mpaka sasa.
“Kuhusu huyo mume wake haijulikani yuko wapi, kwani Polisi mara ya mwisho walisema wameangalia simu yake ikaonekana yupo maeneo ya Tunza.”
JESHI LA POLISI LINAMSAKA MTUHUMIWA
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi ni kuwa ni kweli tukio hilo limetokea kutokana na mgogoro wa ndani wa kifamilia na mtuhumiwa ametoroka, anaendelea kusakwa kwa kuwa alitoroka baada ya tukio.
Kuhusu madai kuwa mtuhumiwa ni mtu wa usalama kama inavyodaiwa na baadhi ya watu amesema sio kweli, ni mvuvi na anamiliki silaha yake kihalali. Jina lake halijatajwa kutokana na sababu maalum.
View attachment 2243941
...Maelezo wa Mama Mzazi hayaelezi kama Yako kwamba kwenda Kwa Mondi ndio lilikuwa chanzo Cha Mauaji!Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.

Kwahiyo ukienda kwa Diamond ndio ushindwe kupokea simu, na majibu yakueleweka pia?Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Ila pisii 'sishabikii mauaji au aina yoyote ya domestic violence.
ila huyu dada kwa kumtazama haraka haraka,hakuwa wife material.
ni aina ya wale wadada wadangaji ambao wanapenda kushobokea watu maarufu.
roho yake ipumzike mahala pema peponi.View attachment 2244260
Tatizo lingine ni vijana kuparamia lifestyle ambalo hawaliweziwapo mabinti wa kuoa ili waje kuwa wake wema na wapo mabinti wa kuwatumia kama chombo cha burudani.
jamaa alioa chombo cha burudani. kila mwanaume alitaka kukitumia kujiburudisha. hapo ndio pressure ya wivu na hofu ya kuibiwa ilipoanzia.
We bibie unaakili sana, wenzio wangekuwa km ww haya marisasi yasingekuwepo.Muhimu ni kujitambua,ndoa ni sacrifice haiwezekani uingie ndoani na uishi kama single lazima mtashindwana tu...
Lakini ni muhimu kabla ya ndoa uhakikishe umemaliza bata zote na unaingia ndoani kutulia.
Una focus project za familia nk huwezi kupata muda wa kwenda show za diamond nk
Ndoa inahitaji ukomavu wa pande zote mbili
Naona kapiga picha kwenye lile roll royce ya mwaka 47sishabikii mauaji au aina yoyote ya domestic violence.