Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Duuh
 
Naona kapiga picha kwenye lile roll royce ya mwaka 47

Ova
Aisee Ila demu alikuwa kisu Sana .huyu jamaa angempiga chini yaani ametuondolea utamu matata Sana hapa duniani. Yaani huyu ningekutana naye ningempa dau fulani najua asingelichomoa. Namlaza hapo hapo gold crest ama tilapia Kama sio malaika ama isamilo loji
 
Unalihudumia jitu kwa shida halafu unalipigia simu halipokei linakujibu.majibu hayaeleweki.

Hata mimi nakuwasha za kichwa tu. Potelea mbali.
Sasa mtu hakusikilizi, hakuheshimu ina mana na upendo hakuna si umuache tu utaua wangapi??
 
Ila demu alikuwa pisi kali Kweli Kweli.
 
Mwanamke umempata baa,kumbi za starehe unategemea ukimuweka ndani ataacha kuna vitu vipo ndani ya moyo kuacha haiwezekani labla mhusika aamue mwenyewe,Watu wajifunze kuoa wa kufanana nao.

kama anajua hawezi kutulia sindio angebaki huko huko bar au club sasa.....kuliko kuja kuwaletea watu shida..... HAPANA AU NDIO...sasa unasema ndio kwa kitu ambacho huwezi...
 
Mke wa ndoa hawez jibu hivo huyo atakuwa alikuw mchepuko
 
H
 
Asante
 
Kaka una mdogo wako kasaaulika huko

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Demu alikuwa kicheche, nasimama na jamaa
Rais samiah alikuwa akipika chakula, kupiga goti kwa mme wake enzi yu makamo wa Rais.

Halafu kuna tahira mmoja huko nje anatetea upumbavu wa huyo marehemu, mme anakupigia simu uwahi kurudi nyumbani umuandalie chakula unagoma unaenda kumshangaa msanii.

Halafu unapigiwa simu, zaidi ya mara 42 hupokei unarudi usiku wa manane ukiwa umelewa chakari unakalishwa kitako ili mme afahamu ulikuwa wapi usiku wote huo unakuja na lugha za matusi.

Hata mimi huruma hiyo sina nakuvunja miguu yote miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…