Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

ubaya ukisha ua huta enjoj tena maisha, ingawa hamna kitu inauma kama dharau
 
Kada wa mbogamboga na midevu yake utafikiria muuza simu wa makumbusho
 
Missed call 42?! We umelala tu?! Huyo kuna yake alikuwa anafanya!!
 
Sasa mtu hakusikilizi, hakuheshimu ina mana na upendo hakuna si umuache tu utaua wangapi??
Huwezi jua how much the guy aliinvest kwake.

Siyo rahisi kupiga tu mtu chini halafu mambo yakaisha...
 
Jamani tuangalie na wanawake wa kuoa mwanamke mwenyewe anaonekana ni shangingi la mjini alfu mtu unaenda kuoa dah hatar hii sema nae uyu mwamba anaonekana ni ngosha mana wanapenda sana wanawake weupe pasipo kuangalia tabia
"Nobody has a moral authority ya kuongelea NDOA kama hujaoa ama kuolewa. Tofauti na hapo ni assumptions tu hapa tutafanya."
 
Duh...
 
safi
 
Ukimuoa mtu haujanunua uhuru wake?

Kwa hiyo ukiolewa unarudi home unarudi muda unaojisikia? Unaenda popote unapotaka? Acha muendelee kula risasi za.kichwa tu.
Wajuajia walisema NDOA ni pingu ya maisha.
Sasa wewe ukitaka kuwa na uhuru wa kila kitu kaa mbali na kitu ndoa.

Mzee wa mjegeje kafika Mwanza naona [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Huwezi jua how much the guy aliinvest kwake.

Siyo rahisi kupiga tu mtu chini halafu mambo yakaisha...
Pole yake, sioni faida yoyote iliyopatikana baada ya kutoa uhai wa mkewe.
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata mke anitukane matusi yote hakuna tusi jipya sio kumuua mtu,sasa unampiga mke risasi kwa vile huna nguvu za kumpiga vibao...ukiona mke hamuwezani achane nae uongeze siku za kuishi
 
Duh..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…