Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Hivi ushawahi sikia mwanamke kutoka tanga,kauliwa sie zaidi ya kumpa furaha mume hatujui kumpa hasira mwanaume hadi kufikia kuuwa[emoji2372]
Unipee ndugu yako mmoja.

PM tafadhali...

Au unatamani siku moja niende jela kisa kuua mtoto wa mtu?
 
Unajua wanaume wengi bado tunaishi 70's, 80's na 90's tukidhani tunamiliki wanawake tulionao wakati maisha yamechange hatumiliki wanawake bali tunaishi nao sio property zetu kama houses, bonds cjui fixed deposit etc. Maana yake hatucontrol wala kuown any feelings wala decision zao so ukiona umemfuma anacheat just mwache aende na wewe tafuta mwingine dunia kubwa nenda Kenya cjui SA cjui Brazil au Mexico au Porto Rico na huko akizungua unamwacha unatafuta mwingine kama safari ya wana wa Israel.
 
Huo mtazamo wako.
 
Msioe pisi Kali mtuachie wawe side chicks wetu na tuwazalishe tu. R.I.P my ex
 
Sasa hayo mapinduzi ndio yanaletaga majanga🤣🤣🤣🤣
😂

😂
"Ashura" akileta show ya kimapinduzi, unamlipa kwa show ya Russia kamvamia Ukraine.

Majanga ya vikwazo vya kiuchumi kutoka Ulaya na Marekani, yatatatuliwa kwa Msaada wa India na China. Hata kama bei ya mafuta, gas na Chakula itapanda Sawa tu. Muhimu maisha yaendelee 😂
 
Umetisha kaka🤣🤣🤣🤣
Ila ukipata kama ashura hakika umeona pepo hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…