Na bastola imemuosha na yeye sijui kapata faida gani sasa now yupo hukumuni kwa kuua na kujiuaNioshe bastola yangu baada ya mihangaiko ya kutwa nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bastola imemuosha na yeye sijui kapata faida gani sasa now yupo hukumuni kwa kuua na kujiuaNioshe bastola yangu baada ya mihangaiko ya kutwa nzima
Look who is talking.....wee yule mume wa mtu sii wee ata mbiguni huendi🤣🤣🤣🤣
kila akiwaza kuna mtu yupo kifuani kwa mkewe anazidi kupiga simu labda watasikia waachane.
usicheze kabisa na wivu.
Sijawahi kujua you are so smart to this extent....mwanaume apige cm......
"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo
Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?
mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show
mengine tunayataka wenyewe wanawake,
kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
Ah sasa kwa nini anakuficha ficha bwana...ebu akuwowe uje utupe raha kule kwa simuliz kali la threesome ya wewe mke mkubwa na jamaaaYule Ni Abdallah anaruhusiwa mpaka 4🤣🤣
Mtu mzima akiamua jambo lake ameamua hata angepiga mara 10000 isingesaidia wivu ukizidi kipimo unakuwa kama ulevikila akiwaza kuna mtu yupo kifuani kwa mkewe anazidi kupiga simu labda watasikia waachane.
usicheze kabisa na wivu.
Wee ni mbinguni moja kwa mojamwanaume apige cm......
"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo
Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?
mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show
mengine tunayataka wenyewe wanawake,
kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
Haya kalipie mahari haraka sana...SUMA JKT linda hii lulu ya Taifa.
Utakuwa uko happy sana ukisoma hii thread.,Waache ndoa zao ZIWAUE..!!
#YNWA
Jamaa hakuona namna Diwani wa Mikocheni alivyopumzika Tabata kwa Ashura?Wee ni mbinguni moja kwa moja
tell themHasira aliyonayo mtu mpole ni mara mbili ya aliyonayo mtu wa kawaida Hawa watu wapole wa kuogopa Sana
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hawa wanawake watakufa sana kwa kupenda ndoa na watu kisa wana pesa za kisenge senge... Ukishaolewa na mtu ana pesa tuliza matako yako chini kubali kuwa mpole lasivyo utauawa tu...
Unapewa nyumba gari unagunguliwa biashara kubwa halafu unaleta dharau lazima upewe za kichwa...
Wanawake mkae mkijua ndoa sio mafanikio ktk maisha, kwahio tulizeni makomwe yenu fanyeni kazi mpate pesa zenu ndio mlete viburi..
Kabisa...tena huko unapewa vitu hadimu kabisaJamaa hakuona namna Diwani wa Mikocheni alivyopumzika Tabata kwa Ashura?
Angeenda kula kwa "Ashura" wake. Asingefanya haya ya mihemko