Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

mwanaume apige cm......

"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo

Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?

mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show

mengine tunayataka wenyewe wanawake,

kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
Sijawahi kujua you are so smart to this extent....

WanaJF wenzangu... huu uzi mkiutumia vizuri mnaweza kujua wanawake wepi wa jF wanafaa kuwekwa ndani....

Nasikitika tu bado sijasoma Comment ya financial services
 
kila akiwaza kuna mtu yupo kifuani kwa mkewe anazidi kupiga simu labda watasikia waachane.

usicheze kabisa na wivu.
Mtu mzima akiamua jambo lake ameamua hata angepiga mara 10000 isingesaidia wivu ukizidi kipimo unakuwa kama ulevi
 
mwanaume apige cm......

"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo

Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?

mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show

mengine tunayataka wenyewe wanawake,

kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
Wee ni mbinguni moja kwa moja
 
hawa wanawake watakufa sana kwa kupenda ndoa na watu kisa wana pesa za kisenge senge... Ukishaolewa na mtu ana pesa tuliza matako yako chini kubali kuwa mpole lasivyo utauawa tu...
Unapewa nyumba gari unagunguliwa biashara kubwa halafu unaleta dharau lazima upewe za kichwa...
Wanawake mkae mkijua ndoa sio mafanikio ktk maisha, kwahio tulizeni makomwe yenu fanyeni kazi mpate pesa zenu ndio mlete viburi..
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Wewe na Huyo Muuaji hamna Akili kabisa,
1.Muuaji ni MUNGU tuu?
2.Wewe Ukikosa Nani anakuoiga Risasi?
3.Wewe ndio Muuaji kwanza Umetoroka na Hujajiua.
4.Kama Umemshindwa kwanini Usimrudishe kwa wazazi wake?
4.Umechukua Sheria Mkononi,Kwahiyo na wewe Tukuuwe tuu Hamna Namna
Over
Copy kwa wanaume wote wanaopenda Kuuwa nao wauwawe tuu[emoji30]
 
hawa wanawake watakufa sana kwa kupenda ndoa na watu kisa wana pesa za kisenge senge... Ukishaolewa na mtu ana pesa tuliza matako yako chini kubali kuwa mpole lasivyo utauawa tu...
Unapewa nyumba gari unagunguliwa biashara kubwa halafu unaleta dharau lazima upewe za kichwa...
Wanawake mkae mkijua ndoa sio mafanikio ktk maisha, kwahio tulizeni makomwe yenu fanyeni kazi mpate pesa zenu ndio mlete viburi..

Hukumu tamu kwa mwanamke mtata ni talaka.

Maana kwanza mtalaka hatongozwi, pili mtalaka hana urithi!
 
Back
Top Bottom