The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tena wako wengi na Wala vitobo vyao havina tofauti Sana na haihitaji nguvu saana kuhangaika na mwanamke..Kwa kweli wanaume tunajileteaga presha za bure kwa kuendekeza wivu wakijinga....wannawake wapo tuenjoy nao...leo kakupa wewe kesho kampa mwengine basi yote heri tuu maana utamu upo pale pale
Kikubwa mi niwe mke mdogo aka napendwa zaidi😅Ulianza vizuri sasa unaharibu🤣🤣🤣🤣
Ata nyie wanawake akili zenu mnazijua wenyewe. Kwani wewe tatizo nini kwa mwanaume kuwana na mlimbwende mwengine ambaye anaipelekea moto mbususu yake?
Njoo basi uwe mke wangu wa pili. UtajidebwedeaKikubwa mi niwe mke mdogo aka napendwa zaidi😅
Kugandana sana nako kadhia ujuee
hata huyo binti angeomba tu nafasi ya kupigwa kofi huenda kesho yake angefunga virago na kuondoka ila jamaa kaamua kutumia GUN.Binafsi mwanaume hanibabaishi. Mimi akinipiga kofi tu. Tunaachana.
Ni kichaa kwa kweliNa wewe mwanaume unajielewa kabisa unapiga simu mara 42 unataka nini.?
Call her once, send an sms ya unachotaka kumwambia then mute..asipojibu mda akija home atatoa maelezo hadi ya ziada.
Tuache utani, hiyo pc ilikuwa kaliHapa ndo utajua kuwa wengi humu wanamiliki wanawake avarege tofauti na jinsi ambavyo kuwa wanajunasibu kwenye nyuzi mbalimbali humu, hii pisi inavyosifiwa humu kwa uzuri nimebaki nashangaa aiseeh.
Mtu anakwambia eti pisi ilikuwa kali sana, jamaa yupo halali, daaah[emoji1].
Nipe namba za huyu mkuu nikajilie raha za duniaHaina makombo,kizuri kula na nduguyo,ikilitambua hilo mwanaume usiumie moyo,akiwa Malaya na were kua Malaya au mwache,ukikaa na muke moya atakutesa sana,sambaza upendo,akizingua huku hamia kureee muraaView attachment 2244817
Una hedge kweli hauna hasara Mana hata trend iwe ni upward or downward wewe uko raha mustarehehedging
Hebu acha wewe yaani kofi na je akikufinyaBinafsi mwanaume hanibabaishi. Mimi akinipiga kofi tu. Tunaachana.
Yaonekana kaka alioa ila mwanamke hana mapenzi naemwanaume apige cm......
"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo
Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?
mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show
mengine tunayataka wenyewe wanawake,
kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
Unaambiwa alikuwa anapigwa mpaka na vitako na bastola. Ila yupo tu. Na mara nyingi walikuwa na ugomvi.hata huyo binti angeomba tu nafasi ya kupigwa kofi huenda kesho yake angefunga virago na kuondoka ila jamaa kaamua kutumia GUN.
Hilo jambo mtu anashindwa.kulielewa afu anawekeza nguvu kubwa kwa mwanamke,ni utaahira na haya sasa ndio matokeo..Uko sahihi sana mkuu bustan ya Eden kulikuwa na kila kitu still mwananmke akaona mume hamtoshi kufanya mazungumzo naye akafanya ukaribu na nyoka halafu marehemu Said Oswayo anajifanya eti anaweza kummiliki mwanamke amuweke ndani atulie kama broiler haipogo hiyo... Mchongaa mwenyewe kwa maria yalimkuta yakumkuta.......
Siyo jeuri ILA MJITAMBUE.....Wewe inaonesha ni jeuri sana
Kwa kweli mwanaume akikupiga hata konzi ni wa kuachana nae haraka sanaBinafsi mwanaume hanibabaishi. Mimi akinipiga kofi tu. Tunaachana.
Tatizo tukiwa kwenye mahusiano tunaukabidhi unahodha kwa mwanamke, badala ya sisi kuwaongoza tunawaacha watuongoze na hivyo kupoteza thamaniUkilazimishwa kuoa Wewe oa huyo uliyelazimishwa.
Kisha haraka sana oa yule unayemtaka. Basi!
Wewe ni nahodha (pilot) wa maisha yako.
Shida ya Wanaume wenye pesa huwa wanadhani kutokana na kipato chao kitatuliza Mwanamke yoyote hii jinsia inaitaji kuelimishwa.Ila ndio malipo pia ya kukataa wanawake wanaowapenda na kwenda kufosi pisi kali kisa tu una hela...
Huwezi kua mjeuri km unampenda sana huyo mwanaume utapoa tu