Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Feminine prerogative: wanaume hatuwamiliki tena wanawake kama zamani ila tunatarajiwa kuwahudumia na kuwatunza kwa kila kitu kuliko hata zamani!

Tatua fumbo hilo.
 
Samahanini kidogo, japo ni jambo la msiba na huzuni.

Nina swali moja, hivi mshawahi kusikia mtu mwenye mke zaidi ya mmoja kaua mkewe ?
Kwakweli mimi tangu ni balehe sijawahi kukaa na mwanamke mmoja, na siwezi huo ujinga.
 
Kwakweli mimi tangu ni balehe sijawahi kukaa na mwanamke mmoja, na siwezi huo ujinga.
Katika jambo ambalo nimejifunza na najivunia ni kuwajua wanawake vilivyo.

Wake zetu wana maudhi sana, nikisema wana maudhi sana, namaanisha sana. Ila kila nikikumbuka kauli iliyo toka katika kinywa twahara, isemayo "Mwanamke ana upungufu wa dini na akili" huwa narudi nyuma na kuwapuuza.

Usipowajua wanawake watakupa shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…