Warangi, wairaqi ,wanyaturu wanagawa nyuchi kama njugu.Ivi inakuaje unaoa Mrangi afu unafikir una mke??
Oky thanks.Ni mpira ndio
Sasa mtu yupo kwenye show simu ipo ndani ya poch na hizo kelele atasikia vipi, kazi yake yenyewe ya urembo , kwanini asingeoa Mwl tena wa BIOS ili kuepuka haya? Wanaume kama mtu hutaki hivi oa wakufanana naye kama hupendi mambo ya starehe teacher ambaye kusahisha datfari na kuandaa notice hakuwezi kumtoa nyumbani!Hahaha nimetoka kutazama video ya Millard Ayo hapa kuna tukio alipigwa mwanaume akapiga mara 42 simu haijapokelewa. One of the reasons naona akaishia kurelease tension kwa risasi.
Imenikumbusha kuna du nilikuwa namkubali kichizi nikawa nafanya matukio ya ajabu pia. Siku nikajikuta napiga makelele kwenye simu baada ya missed call 4 tu sijui 42 ingekuaje. Hahaha alinipa funzo nzuri sana yule pisi kali.
Ni nature tu dada, after all kama wahusika wenyewe wanajuana na wameridhia kuna shida gani?Ungekuwa karibu hapa ungejua hujui
unataka chama kikuletee hela.Oa kijana WA CCM uteseke maana mmetufanyia maisha yamekuwa magumu mtaaani
Sasa kama walikutana huko huko alikuwa anamzuia nini kwenda? Naye mpuuzi tu alikuwa.Huyu dada n slay Queen wa kutupwa. Na mumewe walikutana ktk mambo ya starehe.
Wachache sana watakulewa ila nidyo hivyo, kuna wapumbavu humu wanajiona ni vidume kweli mikwala mingiii ila ni wajinga na wafyata mikia nje ya keyboard , ila hakuna jambo la kijasiri kama la mwanaume kufanya uamuzi wa kumuacha mwanamke anamtia stress hata kama umetumia hela nyingi kumtunza ni bora umuache kuliko kutoa uhai wa mwanamke na wewe kujiangamiza, kizazi dhaifu sana hichiBullshit!
Huwezi kumwacha?
Ndo umuue na wewe ujiue?
Kuna mabilioni ya wanawake dunia hii. Uliyenaye akizingua, mwache uendelee na maisha.
Utapata mwingine.
Yaani nijiue kisa mwanamke, tena ambaye hajatulia?
Nah! Not worth my beautiful and precious life.
Tulieni mtakufa nyinyi, wanaowajaza huo ujinga hawatakuwa na nyinyi wakati mnapitia maswaibu.Unashindwa nini mamilooo kumrudishia za uso?
Endeleeni na kuwa vichwa ngumu tu, ndio madhara yake haya, kwanini hamtaki kuwatii waume zenu? Usawa? UPI? Nyienyie! Jidanganyeni tu .
Halafu mwanamke atakupa heshima mwanaume hile unayohistahili...
Ila ndoa hizi, changamoto sana.
mbona story anazotoa mama yake ni tofauti ma stori zilizoandikwa hapa...
Hili hata mimi ilinishangaza nijuavyo mama zetu hata nguvu ya kuongea hana ila kila mtu ana ujasiri wakeHuyo mama anaonekana kimeo sana yaani hata kulia halii mtu gani huyo
Kaka yangu aliwahi kuniambia sio kila mwanamke afaa kuwa mke, wengine ni vyombo vya starehe."wapo mabinti wa kuoa na wapo ambao si wa kuoa"
HESHIMA NDIO MSINGI MKUU.