Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Hahaha nimetoka kutazama video ya Millard Ayo hapa kuna tukio alipigwa mwanaume akapiga mara 42 simu haijapokelewa. One of the reasons naona akaishia kurelease tension kwa risasi.

Imenikumbusha kuna du nilikuwa namkubali kichizi nikawa nafanya matukio ya ajabu pia. Siku nikajikuta napiga makelele kwenye simu baada ya missed call 4 tu sijui 42 ingekuaje. Hahaha alinipa funzo nzuri sana yule pisi kali.
Sasa mtu yupo kwenye show simu ipo ndani ya poch na hizo kelele atasikia vipi, kazi yake yenyewe ya urembo , kwanini asingeoa Mwl tena wa BIOS ili kuepuka haya? Wanaume kama mtu hutaki hivi oa wakufanana naye kama hupendi mambo ya starehe teacher ambaye kusahisha datfari na kuandaa notice hakuwezi kumtoa nyumbani!
 
Bullshit!

Huwezi kumwacha?

Ndo umuue na wewe ujiue?

Kuna mabilioni ya wanawake dunia hii. Uliyenaye akizingua, mwache uendelee na maisha.

Utapata mwingine.

Yaani nijiue kisa mwanamke, tena ambaye hajatulia?

Nah! Not worth my beautiful and precious life.
Wachache sana watakulewa ila nidyo hivyo, kuna wapumbavu humu wanajiona ni vidume kweli mikwala mingiii ila ni wajinga na wafyata mikia nje ya keyboard , ila hakuna jambo la kijasiri kama la mwanaume kufanya uamuzi wa kumuacha mwanamke anamtia stress hata kama umetumia hela nyingi kumtunza ni bora umuache kuliko kutoa uhai wa mwanamke na wewe kujiangamiza, kizazi dhaifu sana hichi
 
Endeleeni na kuwa vichwa ngumu tu, ndio madhara yake haya, kwanini hamtaki kuwatii waume zenu? Usawa? UPI? Nyienyie! Jidanganyeni tu .

Wanasikiaga basi, hapa tu mimi wife hajarudi toka saa kumi jioni hii saa nne! Vikoba gani wanakaa hadi usiku wote huu na sijala hapa namsikilizia tu tuone mwisho ukiwalamba mapanga waanze kulaumu
 
IMG-20220530-WA0683.jpg
 
Halafu mwanamke atakupa heshima mwanaume hile unayohistahili kama tangu awali ulimzoesha hivyo yani bila kupepesa macho ameshajua misimamo yako, sasa mtu unaanza mahusiano na mwanamke unakutana huyo mwanamke ni pisi kali kama vijana mnavyoita sasa uzuri wake anakufanya mpaka uwe kama mtumwa na kwa kuwa mwanamke ni mzuri basi wewe unakua unamruhusu chochote anachotaka unamtimizia sasa ngoma baadae unaona unakua mzigo huko mbeleni mahusiano yanakuwa machungu kutokana na mwenendo huo sasa unapotaka abadilike unatumia nguvu, maana kuna mambo hutaweza kweli kuvumilia huko mbeleni lakini inakua umeshachelewa ndiyo hile samaki mkunje angali mbichi.. Matokeo yake mnaingia kwenye migogoro isiyoisha hadi kuuana
 
mbona story anazotoa mama yake ni tofauti ma stori zilizoandikwa hapa ?

wanawake hawa ndio mama zetu ila sometimes hawana maana kabisa

r.i.p kamanda wetu umetuwakilisha vizuri sana 🙏
 
Back
Top Bottom