Wewe kama hutaki kuwa chini ya mwanaume kuwa malaya tu, uone kama kuna mwanaume atahangaika na wewe.Nini kitatuua,? unapenda kuishi kwa mazoea sio. Shauri zako utaumizwa dogo
Jamaa kabugi big timebora uwe maskini kama mimi kuliko kuwa na pesa nyingi zikakusumbua..
Jamaa anaua alf anajiua kizembe sana....yaan mi niache ugali na dagaa kisa mabususu? Ladb mi sio mnyamwezi
Umasikini haujawahi kuwa solution.bora uwe maskini kama mimi kuliko kuwa na pesa nyingi zikakusumbua..
Jamaa anaua alf anajiua kizembe sana....yaan mi niache ugali na dagaa kisa mabususu? Ladb mi sio mnyamwezi
Kizazi hiki wanaume ni wachache wanaojitambua ndo maana wanawake wanawadharauWewe kama hutaki kuwa chini ya mwanaume kuwa malaya tu, uone kama kuna mwanaume atahangaika na wewe.
Unataka ndoa tulia.
Mimi nimekupa ushauri mzuri tu.Kizazi hiki wanaume ni wachache wanaojitambua ndo maana wanawake wanawadharau
Ni kweli kabisa wengi ni wa kujifunzia kutesti na majaribio mbalimbali hawa ni maalumu kwa kazi hizo wanatakiwa wazae vitoto vya kamoja au wawili kwa baba mbalimbali maisha yaende!Kaka yangu aliwahi kuniambia sio kila mwanamke afaa kuwa mke, wengine ni vyombo vya starehe.
Tatizo thina nguvu 😂.Unashindwa nini mamilooo kumrudishia za uso?
Miaka 15 ya ndoa hajawahi hata kunifinya.Kama unamaanisha kwenye udangaji ni sawa ila kama ni swala la ndoa utabondwa sana ikiwa utaishi kisista duu, we kama bado hujamaliza mambo yako endelea nayo nje ya ndoa huko.
Mimi sio wale tunaachana eti narudi kwa wazazi. Mimi ni wala mwanaume ndo unaodoka unaniachia nyumba. Ukizaa nje na mimi nazaa nje. Ohoooooo dawa ya moto ni moto.Independent woman sio
Ni kwasababu pengine huna maudhi yasiyosameheka kirahisi, sio kila kosa mwanaume ata-react kwa kukupiga ila kuna vitu vingine ni ngumu sana, we mletee mwanaume ndani uone kama hatakufinya.Miaka 15 ya ndoa hajawahi hata kunifinya.
Hapana alitaka kuondoka ila baba mtu akamzuia asiondoke kwa vile alishawahi kuachika ila siyo hivyo huyo Saidi alimteka akili baba mkwe wake kwa mapene ndo sababu kubwa baba mtu kulazimisha mtoto wake asiondoke, ila huyo dada na marafiki zake nao wajua ni watu wa kujiachia Sasa sijui huyo Said alitaka kuprove nini kwa kumuoa na kuwa naye muda wote bila kwenda kwa mke mkubwa kama matarajio ya muolewaji.Unaambiwa alikuwa anapigwa mpaka na vitako na bastola. Ila yupo tu. Na mara nyingi walikuwa na ugomvi.
Siwezi leta mwanaume ndani. Wala michepuko sina.Ni kwasababu pengine huna maudhi yasiyosameheka kirahisi, sio kila kosa mwanaume ata-react kwa kukupiga ila kuna vitu vingine ni ngumu sana, we mletee mwanaume ndani uone kama hatakufinya.
Kila la kheri kwenye ndoa yako.
Oooh kumbe unalea marioo, basi sawa dada.Mimi sio wale tunaachana eti narudi kwa wazazi. Mimi ni wala mwanaume ndo unaodoka unaniachia nyumba. Ukizaa nje na mimi nazaa nje. Ohoooooo dawa ya moto ni moto.
Vizuri.Siwezi leta mwanaume ndani. Wala michepuko sina.
Mke mkubwa atakuwa kafurahi. Binafsi ningefanya sherehe. Mwanaume alieniona sifai kujiua kisa mwanamke aliemuona anafaa. 😂Hapana alitaka kuondoka ila baba mtu akamzuia asiondoke kwa vile alishawahi kuachika ila siyo hivyo huyo Saidi alimteka akili baba mkwe wake kwa mapene ndo sababu kubwa baba mtu kulazimisha mtoto wake asiondoke, ila huyo dada na marafiki zake nao wajua ni watu wa kujiachia Sasa sijui huyo Said alitaka kuprove nini kwa kumuoa na kuwa naye muda wote bila kwenda kwa mke mkubwa kama matarajio ya muolewaji.
Hata huyu muuaji huyu alikuwa mke wa pili.Samahanini kidogo, japo ni jambo la msiba na huzuni.
Nina swali moja, hivi mshawahi kusikia mtu mwenye mke zaidi ya mmoja kaua mkewe ?
Hapana,tumejenga pamoja. Kwani nini niondoke ?Mme wangu ni mfanya biashara mkubwa kaajiri watu 50 kabisa. Hivyo si Marioo.Oooh kumbe unalea marioo, basi sawa dada.