Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Shida ya Wanaume wenye pesa huwa wanadhani kutokana na kipato chao kitatuliza Mwanamke yoyote hii jinsia inaitaji kuelimishwa.
Basi kama hamtaki kutulizwa na kipato chetu,basi oleweni na Makabwela!! Makabwela tukiwatokezea mnatupiga kibuti kisa hatuna mkwanja! Sasa mkae mkijuwa kuwa kwenye mkwanja kuna na bastola pia,Sasa kazi kwenu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuoa mtu haujanunua uhuru wake?

Kwa hiyo ukiolewa unarudi home unarudi muda unaojisikia? Unaenda popote unapotaka? Acha muendelee kula risasi za.kichwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa!
 
RIP dada mzuri,

Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.

Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.

Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.

Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.

Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.

Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.

RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
Dah huyu alistahili hata magazine 5 kabisa, si risasi 7. Inaonekana mwamba alikuwa mstaarabu sana ila kupenda kahaba ndo kumemponza. Ndo maana hadi kajiua

Ila angewakuta hapo ukumbini angefagia hadi mchepuko
 
Kwa hiyo? umesoma ulichoandika kweli? hata kama mke malaya au sababu yoyote ile ndio humtoe uhai ili iweje? sasa kamuuwa yeye nini alichopata kikubwa kaharibu maisha yake na family yake. Najuwa kuna maudhi yanatokea katika mahisiano na wakati mwingine unampenda sana na inauma lakini sio kumalizana sababu ya mapenzi. Kama walifikia mpaka kufunga ndoa ina maana walipendana ikiwa yametokea haya kutoaminiana huwezi fanya mchakato muachane japo najuwa sio rahisi. So sad ila mwanamme wa kweli hupigi mwanamke move on.
Achana na maneno ya motivation speaker. Hata wa kujinyonga huwa anafika Point of no return
 
Wachache sana watakulewa ila nidyo hivyo, kuna wapumbavu humu wanajiona ni vidume kweli mikwala mingiii ila ni wajinga na wafyata mikia nje ya keyboard , ila hakuna jambo la kijasiri kama la mwanaume kufanya uamuzi wa kumuacha mwanamke anamtia stress hata kama umetumia hela nyingi kumtunza ni bora umuache kuliko kutoa uhai wa mwanamke na wewe kujiangamiza, kizazi dhaifu sana hichi

Bado hamjakua nyie wala Hamna history ata za dini [emoji1545]
 
Wanasikiaga basi, hapa tu mimi wife hajarudi toka saa kumi jioni hii saa nne! Vikoba gani wanakaa hadi usiku wote huu na sijala hapa namsikilizia tu tuone mwisho ukiwalamba mapanga waanze kulaumu

Pole Sanaa mkuu
 
Ndiyo maana Wengine wanalea watoto si wao, wengine wanatangulia kabla ya wakati wao, na wengine wanatoa uroda hata kwa BODABODA!!!!!
Nimekupata yaani katika mwanaume kukomolewa ni kuwa 1- mnabeba mimba nje mnatuletea tulee damu isiyo ya kwetu. 2-yaani huwa mnatoa uroda haraka Sana kwa mtu yeyote japo kujipooza machungu ya moyoni. 3- ni rahisi kuua mwanaume haraka Sana Mana anakuwa karaha kwako.
Duu yaani ukatili wenu ni mkubwa.
Ila umeongea points Sana madame big up sana.yaani mwambie unavyotaka awe sio uoe ndio uje kumpa shida ya masharti utadhani ndio yatakayompeleka mbinguni.
 
Watu wanafurahisha sana humu....

Jamaa angeenda tu hapo maeneo ya Tilapia zipo kibao zinatega, unamteka mmoja nawewe unapotea 2 weeks...Au unampandisha ATCL mkuu wa kikosi mwenye tabata yake aka "mama biriani" unajificha naye week unakula biriani tu mchana usiku...au ukiona vipi unahamia zako tu Tabata 2weeks na simu unaweka kile kitufe cha ndege.....

life is easy or tough, depend on you...
 
Ukiwa unahudhuria vikao vyetu wala hutashangaa hili ni kawaida sana!! Kuna pisi nyingine tunazijadili,Watatuelewa tu mdogo mdogo.....
 
Ni wakati wa solution sasa kuokoa jamii!..

Ukiona maudhi yamedhidi sana, zoezi la kwanza ni kutoa talaka na kukata supply, hii hatua ni ngumu lakini ndio usalama wako...
 
Wanandoa wanagombana mambo yao wenyewe,unamsingizia Diamond kwamba anavunja ndia za watu.
Indeed,hata ugomvi haukuwepo. Huyu mtu anampigia simu make wake ambaye amelala usingizi. Missed calls 42. Anaamua mke wake lazima apate fundisho.
Halafu Ni kichekesho kwamba mtu ananunua bastola kuwashuti majambazi,anaitumia kumshuti mke wake.
 
Back
Top Bottom