Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Yaani kiufupi kwa hali halisi ya sasa inabidi mwanaume uwe na moyo wa kusamehe haraka na kusahau haraka. Na mwanaume uwe mtu wa kupotezea kabisa na usiwe na hasira kabisa.
Ni kuwa na mentality ya kwamba mwanamke ni wako wakati wewe unamtomber, akiondika ni wa mwanaume yoyote mwenye hela
 
Mmh, haiwezekani, yaani mtu ajiue halafu ajitupe kwenye ziwa? Alijibebaje? Hapo kuna mtu alitaka kumuua mkewe na kumframe yeye kama amekombia, kumbe na yeye kauwawa na kutupwa ziwani.

UCHUNGUZI UFANYIKE!!
 
Mtu anawezaje kujiua halafu aende kujitupa ziwani?
 
Wasumbwa wanasema, "BAKEMA BASOGA BATOMBEKA" kwamba WANAWAKE WAZURI HAWAJENGI.
Anasema marehemu Rais Mugabe "KUOA MWANAMKE MZURI NI SAWA NA KUMILIKI SHAMBA LA MIWA JIRANI NA SHULE YA MSINGI"
 
Huyo Swalha ni mrangi? 😂 Haya tuachieni Warangi wenyewe, tutawaoa, maana mnatupa competition kali sana bhana 😂😂
 
WANAWAKE wote ni wazuri na WATAMU.......ni wewe JIBABA unakurupuka kuangalia sura au ukubwa choo cha uani....wanaume weingine huwa tunashindana......huyu lazima nimuowe...flani hana pesa.....ujingaaa........kwa haraka tuu.......huyo jibaba dem hakuwa style yake....hata kwa muonekano......kama alifikiria ankara inakamilisha nooooo.......wacha wapumzike tugombanie mali zao.......RIP's...
 
Unatoa million 4 kununua glock,una ka ist,umepanga,unasubiri mshahara mwisho wa mwezi.Iyo 4M si uinvest hata kwenye duka la vyombo au mtumba
Kweli kabsa mkuu. Yan kama hiz mambo hazna ulazma sana n kuachana nazoo.
 
Mkuu ile silaha ni kama kutoa hela mfukon na kwenda nunua jiniii. Triger ukigusa tuu znamminkaaaa na huna namna ya kuizuia risasi tena. Yan mtu ukishajiona unahasira visu maoanga masufuria makubwa hifadh kwa jiraniiii😃
 
Sio kweli..
Kuna viumbe ni wazuri kiasili
Wengine hadi wafanyiwe modikikesheni kali sana
Mbona wa hivyo wengi sana kitaa, yaani mwanamke ana hela ya maana lakini atabaki na mvuto kwa mume wake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…