Yes boss, habari za kushindaMzee nyboma
Ni zaidi ya ufala,Kuuaa,kujiuaaa kwa ajili ya mwanamke ni zaidi ya ufalaaa
Ova
Point sana hii Joan, mtu unapenda kilofa tu unakua kama chizi lazima uwe mzaifu na mwanaume mzaifu ni rahisi sana kucheza na hisia zake, vijana humu hawaelewi wapo wapo tu akili wamezikalia, kuna andiko linasema mwanaume mwenye wivu kwa mke wake anaingia mitegoni imagine that[emoji23]Sipendi mwanaume anayependa kupitiliza!wanakuwa weak sana
Ukishaoa mwanamke mwenye mdomo kama huyu ni shida tupu...ugomvi mwingine huu unnaenda kutokea
Wasipoelewa na hapa basi hamna namna ingine... Kama mwanamke hajitambui katika nafasi yake hilo sio kosa la mume kumnyoosha, ukisema uache kila mwanamke mpumbavu utaacha wangapi?Mwanamke amepewa heshima kubwa sana ya kuitwa Mama, tafsiri ya mama ni mlezi wa familia na mmiliki wa majukumu yote ya nyumbani nyuma ya mwanamme, ni mlinzi na mlezi wa familia na kioo cha nyumba,mtunza siri za nyumba, mmiliki funguo za ndoa na mwisho kabisa ndiye kiumbe mwenye nafasi ya kumshape mme na familia..
Hivyo vyite juu vitawezekana san kama Mwanamke anakuwa mtulivu, mwenye heshima na hekima, mvumilivu na mwenye hofu ya Mungu na kufahamu vizuri kwanini yeye ni mwanamke na nafasi yake ni nini...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Warangi wana nini, ila historia haidanganyi muwe mnafuatlia historia za wake zenu watarajiwa ili kujua kabila la mke wako wanahistoria ganiHV huyu jamaa nae kwa akili yake anamuoaje mrangi
We jamaa huwa una reason kitoto sanaMmh, haiwezekani, yaani mtu ajiue halafu ajitupe kwenye ziwa? Alijibebaje? Hapo kuna mtu alitaka kumuua mkewe na kumframe yeye kama amekombia, kumbe na yeye kauwawa na kutupwa ziwani.
UCHUNGUZI UFANYIKE!!
Sasa wanawake wengi ni kundi la huyo dada anayetukana mitusi.Duh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
Nimecheka sana brother comment yako [emoji23][emoji23]Mkuu ile silaha ni kama kutoa hela mfukon na kwenda nunua jiniii. Triger ukigusa tuu znamminkaaaa na huna namna ya kuizuia risasi tena. Yan mtu ukishajiona unahasira visu maoanga masufuria makubwa hifadh kwa jiraniiii[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angemaliza wote.Dah huyu alistahili hata magazine 5 kabisa, si risasi 7. Inaonekana mwamba alikuwa mstaarabu sana ila kupenda kahaba ndo kumemponza. Ndo maana hadi kajiua
Ila angewakuta hapo ukumbini angefagia hadi mchepuko
Nakubali mamaHata kwenye dini tunaambiwa mbabe zaidi na mwenye nguvu ni yule mwenye kuweza kuzizuia hasira zake.
Na mara nyingi ukiwa mpole na mstaarabu baada ya kuudhiwa karma ndio inakuwa mlipaji wako wa kisasi. Muhimu subrah tu
Sasa huo ndio uswahili wenyewe aliokuwa naoAh wee huo muda wakuhangaikia sebule ataupata wapi wakati yupo busy kwenye simu anangalia wangapi walike picha instagram na wangapi wanatuma miamala ili wale utamu.
Mtamulamu bure tuu. Ukiwa pisi kali usubufu toka kwa wanaume upo mwingi huo muda wakuupamba nyumba wa nini wakati jamaa wanataka kukulaza hotel kali kali huku wakikupelekea moto
Unapozungumzia ishu kama hizi simama kwenye mzizi wa tatizo, kwako wewe unawezaje kupigiwa simu na mumeo zaidi ya mara 20 na usipokee kisa umechoka??Kwanza marehemu Said alikuwa kolo Sana,Hana exposure,yaani akajua hapa duniani huyo swala ndio mwisho hakuna wanawake wengine!..na Nyie wanaume wa humu wote mnajifanya kumsupport Said hamna exposure Kama marehemu...Maisha Ni zawadi nzuri tuliyopewa huwezi poteza uhai wako kisa mtu wakati Kuna mamilioni ya watu ulimwenguni,,eti alikuwa anampa hela kwa hela gani Bwana za kumtoa mtu uhai?kwa hiyo mitumbwi ya mbao?Sasa Kama issue Ni uchungu wa pesa Bill gate itabidi atumie Nukes
Umeona eehMbona demu ni wakawaida sana,au hiyo rangi ya kirangi inawazuzua??
Vinaitwa silaha za jadiNimecheka sana brother comment yako [emoji23][emoji23]
Sijui kwa Nini huwa nawaogopa Sana wanaume wanaofuga ndevu hivi,halafu awe mkimya!Wana maamuzi mabovu sana
Aisee madini wanayotoa warembo wa jf yanakushawishi uweke mke ndani lakini unabaki unajiuliza hawa wa jf sii ndio hawa hawa wa mtaani🤣🤣🤣🤣🤣Sasa huo ndio uswahili wenyewe aliokuwa nao
Kwani anafanya yeye? Si pesa inafanya.
Kuna watu ni warembo haswaaaaa na wanaweza kubalance kote.
Kwanza utajiitaje pisi kali wakati unalala kwenye nyumba kama stoo? Yani haiko arranged na hata stoo yenyewe inakuwa na mpangilio.
Urembo wa mwanamke aliyefundishwa vyema unaanzia nyumbani kwake kwa mazingira yanayomzunguka kama hujui
Hatujawahi kuachana.Kuna kipindi ukitutangazia kuwa umepiga teke ndoa yako, hadi wengine tukaja kwa waziri mkuu kuomba kuziba pengo. [emoji1787][emoji1787]
Msharudiana?
🤣🤣🤣Naona washakutana mbinguni canteen sasa hivi tena kuna malaika anawauliza nyie mbona Amuongea mna ugomvi ?
Badili mindset kuona mke ni wakumtandika na silaha yoyote brother love is good hasa ukimpata anaekustahiliVinaitwa silaha za jadi