Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Ndoa hizi zinahitaji AKILI kuzimudu. Hivi kama mme( hata kama hana interest ya kwenda) ukanunua tickets 2, mkaenda na mkeo, ukavumilia, kingeharibika kitu?. Huyu mwanamme hamwonei huruma mama yake? Is it worthy kwenda jela/ kujiua sababu ya mkeo kwenda concert?
Una uhakika gani alienda concert? Mwanamke anayekuheshimu lazima arespond kwa wakati hata ukimpigia simu. Mume anatoa ultimatum kuwa mke asitoke mke akishindwa kutekeleza ni sawa na mwanajeshi anaesaliti kambi. Mume alikuwa na wasiwasi kwanini simu hazipokelewi af lately mama mkwe anapokea na kusema eti binti yake alikuwa amelala. Kimsingi jamaa alishaona mama mkwe na mwanae wanamchezea shere!

Mwanamke wako anaekupenda hawezi kufanya bullshit hata siku moja na anakuwa na hofu kwenye hilo eneo. Mke anaonekana alikuwa na backup ya mama yake kuwa akifanya utumbo mama yake anamkingia kifua tu as if mwanae ni malaika. Mwanamke akikubali kuolewa automatically baada ya mkataba ni mali ya mumewe kwa shida au kwa raha na hata baba yake akimtaka mtoto anafanya kumuomba wala hana mamlaka nae mume wa binti akikataa. Hata kuzika nazika napotaka mimi kwa maana tayari ni mke wangu na mali yangu until further notice.
 
MH, hapa kuna chembechembe za jealous dhidi ya huyo dada
Sasa jealousy namjua mkuu? Me nimemfanyia analysis kulingana na mavazi yake na nyumba yake.
Haya tufanye ni hivyo. Uwe na siku njema.
 
Niliwahi kwenda geto kwa mdada flani ambaye anadanga... anavyojipodoa sasa utasema mke si huyu..
Basi siku ya siku kuna shoga yake sijui alitaka kumkomoa au vipi si akanipitisha kwake bila yeye kujua maana huwa anaachiwa funguo...weeee vyombo vilivyotumika toka asubuhi vimetapakaa chini na havijaoshwa tangu mchana na mda huo napita ni saa 11 jioni, kitanda hakijatandikwa, miguo imepatapakaa tu haieleweki... basi siku nyingine nikiwa huo mkoa huo nikawa nimeishiwa hela baada ya malipo flani nimebaki na nauli tu. Nikamwambia naomba nije kulala kwako...kwani alikubali?? Alinipeleka kwa rafiki yake.
Wanawake waone tu barabarani wamependeza ila wengine hata kufuta watoto wao makamasi ni tatizo...
Kama unaoa hawa basi Acha kumiliki bastola, panga, shoka, kisu , bisibisi na vifaa vingine vyenye ncha kali
Asante kwa ushauri mzuri kama huu.
Ila mwanamke mchafu ni total turnoff
Wao kazi yao kushinda istagram badoo na tinder
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mzab niache kwanza,,,hapa nimejivisha ngozi ya chui[emoji41]

Halafu eti mke unaendaje kwenye shoo??
Acha ushamba mke kwenda kwenye show fatizo nini bwana kama ndio kitu kinamburudisha?

Acheni ujinga bwana mwanamke anaweza kwenda out na marafiki zake wakike wakaenjoy ...mbona tunawaachia waende kwenye kitchen party
 
Hehehe hatujui kwamba ndoa ni kujisalimisha (submission ) chini ya mamlaka ya mtu fulani...kama huwezi kuwa single tu na maisha yataenda.
wambie wenzio wanaohisi ndoa ni kama IGIZO la Mambo Hayo kuwa session ya recording ikiisha mnarudi kuishi maisha yenu kama kawa. Ndoa ni committment ya hali ya juu na mke ndio anafanya ndoa iwe imara au iharibike tokana na tabia zake.

Mama ndio anasimamisha mji au kuuharibu zipo familia zilikuwa na irresponsible fathers ila watoto wakalelewa vyema na kukua na kuja kusaidia kuinua wazazi hao hao. Ila kwa mazingira hayo mama asingejikaza unafikiri hali ingekuwaje na sio kuwa baba hayupo ama haheshimiwi anapewa heshima kama baba maisha yanaenda hivyo.

Leo hii unaoa ukipoteza ajira tu na ndoa inakufa na familia inasambaratika. Wanawake sio wavumilivu kabisaa
 
Una uhakika gani alienda concert? Mwanamke anayekuheshimu lazima arespond kwa wakati hata ukimpigia simu. Mume anatoa ultimatum kuwa mke asitoke mke akishindwa kutekeleza ni sawa na mwanajeshi anaesaliti kambi. Mume alikuwa na wasiwasi kwanini simu hazipokelewi af lately mama mkwe anapokea na kusema eti binti yake alikuwa amelala. Kimsingi jamaa alishaona mama mkwe na mwanae wanamchezea shere!

Mwanamke wako anaekupenda hawezi kufanya bullshit hata siku moja na anakuwa na hofu kwenye hilo eneo. Mke anaonekana alikuwa na backup ya mama yake kuwa akifanya utumbo mama yake anamkingia kifua tu as if mwanae ni malaika. Mwanamke akikubali kuolewa automatically baada ya mkataba ni mali ya mumewe kwa shida au kwa raha na hata baba yake akimtaka mtoto anafanya kumuomba wala hana mamlaka nae mume wa binti akikataa. Hata kuzika nazika napotaka mimi kwa maana tayari ni mke wangu na mali yangu until further notice.
USIWE ZEZETA MZEE, MWANAMKE KAMA HAKUTAKI, MPE TALAKA AENDE ZAKE, KIRI ULIFANYA MAKOSA KUCHAGUA NA USONGE MBELE, MAMBO YA HUYU NI MALI YANGU, SIJUI BLAH BLAH, NDIO MNAISHIA KUPANIKI NA KUUA KISHA NA NYIE MNAJIUA AU KUOZEA JELA
 
Wasipoelewa na hapa basi hamna namna ingine... Kama mwanamke hajitambui katika nafasi yake hilo sio kosa la mume kumnyoosha, ukisema uache kila mwanamke mpumbavu utaacha wangapi?
Ishu sii kuacha wangapi, ishu ipo kwenye kuchagua wa kuoa. Tatizo kubwa la vijana wa siku hizi ni UDOMO ZEGE! Kijana hujui kutongoza, umejawa uoga, matokeo yake unaokoteza okoteza wanawake njiani, bar au mitandaoni. Yeyote anaekukubali wewe unakomaa nae huyohuyo na kung'ang'ania kumuoa!

Kijana kabla ya kuoa unatakiwa uwe umechakata mbususu zisizopungua 50 za watoto wakali! Katika hao lazima utakutana na vichaa, magumegume, ma gold digger na pia utakutana na wife material.. Huu uzoefu utakusaidia sana kujua wewe unahitaji mke wa aina gani?

Sasa unachuja kwenye hao 50 unachagua hapo watatu. Katika hao watatu mmoja ANAEKUPENDA (sio unaempenda) unaoa, wengine unawabakisha kama michepuko! Wife akizingua HUMUACHI, wala hugombani nae, unampuuza ila hasira unaenda kumalizia kwa mchepuko kwa kutembeza gegedo kali.

Utaishi kwa raha mustarehe maisha yako yote.
 
Ah wee huo muda wakuhangaikia sebule ataupata wapi wakati yupo busy kwenye simu anangalia wangapi walike picha instagram na wangapi wanatuma miamala ili wale utamu.

Mtamulamu bure tuu. Ukiwa pisi kali usubufu toka kwa wanaume upo mwingi huo muda wakuupamba nyumba wa nini wakati jamaa wanataka kukulaza hotel kali kali huku wakikupelekea moto
Ndio ujinga wa kujiona pisi kali huku akili za kisoda. Itaishia kudanga mwishowe uzeeni unaanza kusimbua watu. Kuna wadada nawafahamu wakati nasoma walikuwa pisi kali balaa, sasa hivi wanatia huruma maana wamekuwa watu wazimz na hata hela ya kula hawana. Hata uwe pisi kali vipi, fainali uzeeni.
 
HV unaoaje mrangi mnawajuwa vzr hao watu

Mm ndgu yangu alimkuta mkewe anachakatwa kwenye sofa live live nyumbani kwake tena

Baada ya jamma kurudi kazini gafla
acha kbsa Hawa watu siyo wa kuoa angeia msukuma mwezake tu
 
Hehehe hatujui kwamba ndoa ni kujisalimisha (submission ) chini ya mamlaka ya mtu fulani...kama huwezi kuwa single tu na maisha yataenda.
Ndiyo,kuliko kwenda kumtesa mtoto wa watu na kumrudisha nyuma kimaendeleo,

Sass Kama hapo wanaoumia zaidi ni upande wa mwanaume,ndo wanajua leo kumbe ndugu yetu alioa shda na alikuwa asemi,

Lakini upande wa mwanamke wanajua kuwa ndugu yao alikuwa kibwengo.
 
Yaani niende Sehemu Ambayo sjisikii kisa Kumridhisha Mtu. Huyo Mwanamke Ukute alienda na Mashoga zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa tumeshajua story nzima ilivyo huyo bidada kwanza kutopokea tu simu ya mume wake calls 42 inachochea hasira na kuleta sintofahamu nyingi, ila tambua tabia iliyoshamiri ni uliaacha wewe ikue, unatakiwa kumzibiti na kumjenga mkeo awali kabla ya mambo kuharibika, na ukiona haendani na mienendo yako tafuta means nyingine mzee
 
Ndio ujinga wa kujiona pisi kali huku akili za kisoda. Itaishia kudanga mwishowe uzeeni unaanza kusimbua watu. Kuna wadada nawafahamu wakati nasoma walikuwa pisi kali balaa, sasa hivi wanatia huruma maana wamekuwa watu wazimz na hata hela ya kula hawana. Hata uwe pisi kali vipi, fainali uzeeni.
Wewe kuna pisi kali wanajua kutumia mbususu zao acha kabisa maisha yamekuwa poa kutokana na mbususu zao
 
Acha ushamba mke kwenda kwenye show fatizo nini bwana kama ndio kitu kinamburudisha?

Acheni ujinga bwana mwanamke anaweza kwenda out na marafiki zake wakike wakaenjoy ...mbona tunawaachia waende kwenye kitchen party
Mie ni mshamba ndo maana nashangaa mzab,,
 
wambie wenzio wanaohisi ndoa ni kama IGIZO la Mambo Hayo kuwa session ya recording ikiisha mnarudi kuishi maisha yenu kama kawa. Ndoa ni committment ya hali ya juu na mke ndio anafanya ndoa iwe imara au iharibike tokana na tabia zake.

Mama ndio anasimamisha mji au kuuharibu zipo familia zilikuwa na irresponsible fathers ila watoto wakalelewa vyema na kukua na kuja kusaidia kuinua wazazi hao hao. Ila kwa mazingira hayo mama asingejikaza unafikiri hali ingekuwaje na sio kuwa baba hayupo ama haheshimiwi anapewa heshima kama baba maisha yanaenda hivyo.

Leo hii unaoa ukipoteza ajira tu na ndoa inakufa na familia inasambaratika. Wanawake sio wavumilivu kabisaa
Kwakweli wa siku hizi sisi si wavumilivu nikiwemo na mimi. Na pia sio watii sijui ninkwakuwa na sisi tunaweza kupata visalare au vibiashara??
Ila ninapoiangalia ndoa ya bibi yangu na mama yangu (RIP) huwa namwambia bibi mimi sitaweza na siwezi kuwa kama wewe kama ndoa ndio hivyo.
Hadi leo hata akipanga au akiitwa kwa wanawe huwa anawaambia "nendeni mkaniagie kwa baba yenu" na babu akitoa sababu kwamba asiende katu hawezi kwenda. Na ni bibi wa miaka 85.
Sasa kweli tunayaweza hayo??
 
Back
Top Bottom