Dah enaseketesha sanadaah nimeona picha za mwili wa baharia mwenzetu,aisee na denge lake linawaka vile vile,msumari umeingia kidevuni na kutokea juu kichwani[emoji24][emoji24][emoji24].
inasikitisha sana aisee.
Kabisa huo ndio ukweli....wengi wanafuata maisha sio kwamba wanapendaNamaanisha wanaoolewa ki masilahi wapo wengi mno. Kwamba mwanamke anafwata hela za mwanaume ila si mapenzi
Hapo unapigia nyeto hiyo picha najuaCheki rangi ya chai maziwa hiyo....ebu leta na picha ya mgongo wake maana tako muhimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuko pamoja kwa mind set iyo mkuuHalafu sijui kwann pisi za namna hii huwaga sinaga shobo nazo... Mimi iwe kazini au mtaani zile pisi ambazo majority wanazionaga kali automatically moyo wangu unaji-tune kuziona za kawaida tu!!!
Mabinti wapenda hela nao kwa kweli iwe fundisho kwaoUnapozungumzia ishu kama hizi simama kwenye mzizi wa tatizo, kwako wewe unawezaje kupigiwa simu na mumeo zaidi ya mara 20 na usipokee kisa umechoka??
Kwako wewe unaweza kwenda sehemu ya starehe wakati mumeo amekukataza kwenda huko??
Kwako wewe umepawa ruhusa kufanya kaza nje ya mkoa unaweza kuzidisha siku ulizopewa na mumeo??
Haya turudi kwenye mstari wa hoja zako, kwa uelewa wako unapoolewa unahisi wewe utakuwa na sauti kwenye hiyo ndoa?? Kwako wewe uko radhi ufanye ujinga wa kugongwa nje kisa tu mtaachana?, unajua gharama anazotumia kukuhudumia hasa muda na mali zake katika kukuweka wewe na familia yako sawa??
Muda hauwezi lipiwa kirahisi hivyo, kuepusha hilo zogo lazima uwe mpole kwa mumea tu. Ukipigiwa simu na mumeo pokea hata kama akitukana atatukana na atamaliza kwa kukusikiliza na hivyo ndivyo tulivyo wanaume. Ni bora upate mwanaume anayekutukana kwenye hiyo simu kama umezingua kuliko aliyemkimya.
Wanawake mnapokubali kuolewa lazima mkubali kuwa mko chini ya mtu na huna mamlaka yoyote juu ya maamuzi ya familia zaidi ya ushauri kwa mumeo. Kiburi huweza kukuletea madhara makubwa sana.
Hata dada yake alipohojiwa u- tube, pamoja kuwa kwenye huzuni bado sura inaonyesha imejaa kiburi cha uzuri , kiburi kimeshakuwa kama muhiri usoni , kimekomas, hakifichwi na huzuni wala lolote, lazima walikuwa viruka njia wa mijitu yenye pesa hao,Hakuna shaka kabisa.. Picha inajieleza wazi kabisa! Slay aliyejaa dharau !
kundi kubwa ila wapo wachache ambao wako resonsible na maisha yao, huwa hawajali kipo au hakipo alimradi mnaheshimiana tu!Wanawake hawapendi wanaangalia maisha yapo wapi simple as that. Sasa wewe jidanganye kuwa wapendwa itakula kwako
Ah hii siwezi pigia nyeto...nyeto kwa sasa napia ile picha ya tako la mahondawHapo unapigia nyeto hiyo picha najua
Hao ni 1 in a million....so tz wapo 30 tuu...gud luck finding one🤣🤣🤣🤣🤣kundi kubwa ila wapo wachache ambao wako resonsible na maisha yao, huwa hawajali kipo au hakipo alimradi mnaheshimiana tu!
Sikuzote tunawaambia hawa wanawake humu, kama mwanaume humpendi usipokee hata hongo zake! Wengine walivyo mabogaz wanakula hela na kujisifu wakijiona wajanja matokeo yake wakiitwa hawaendi, wengine wanaona bora waolewe kabisa ila wanakuwa wapo kwa sababu wamepewa mitaji ya biashara ama kujengewa nyumba na kupewa hela za starehe!RIP dada mzuri,
Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.
Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.
Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.
Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.
Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.
Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.
RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
Wee nani alikwambia mie naenda mbinguni🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa atafika mbinguni anatambaa hahaa
Thamani Gani ama kisa mwili wako kubeba mbususu Bswanawake ni wa thamani
7bu ya njaa mkuu nadhani hujui njaaSikuzote tunawaambia hawa wanawake humu, kama mwanaume humpendi usipokee hata hongo zake! Wengine walivyo mabogaz wanakula hela na kujisifu wakijiona wajanja matokeo yake wakiitwa hawaendi, wengine wanaona bora waolewe kabisa ila wanakuwa wapo kwa sababu wamepewa mitaji ya biashara ama kujengewa nyumba na kupewa hela za starehe!
Acheni mchezo na hisia za watu nyie. Mtu unaona kabisa humpendi mkatae mapema msitafute justification za kula hela za wanaume kwa kukubali ndoa halafu mnafanya umalaya mkiwa ndoani! Mtaishaaa!!!
Hapo ndipo kuna tofauti ya madomo zege wapenda shortcut na mabaharia! Mi situmii hela kupata mwanamke nimtakae ila wajinga wajinga wanafungana mota kutafuta hela ili wahonge madem wapate mbususu!Hao ni 1 in a million....so tz wapo 30 tuu...gud luck finding one🤣🤣🤣🤣🤣
Simu ni mwiba kama hamna uaminifu! Iwe kwa ME au KE!Mwanaume au mwanamke yeyote asiyetulia ndio pekee anaweza kuona simu ya mwenzi wake kama ni kero. Ila kama unampenda mtu wako uko tayari hata kama unafua simu iko sikioni. Ni malayaa tu ndo huona simu za wenzi wao kama hazina maana na ni kero.
Halafu inakuja vipi huduma upate kwa said halafu utamu ukagawe kwa wengine...
Yani huwa sipendi mauusiano yasiyo na uaminifu maana nilishayapitia. Yani unapiga simu linapokea baada ya kupiga mara kibao then linadanganyia ubize..
Risasi zitatembea sana hadi pale mlioolewa mtakapoacha kudanga.
Wasukuma ni wastaarabu sana kwenye mahusiano huwa hawana tabu zaidi ya kujua kupenda . Kikubwa tu umpatie nafasi ya kuwa mume na wewe uwe mke ambaye Ana utii na unyenyekevu.
Labda wakurya ndo watata (wakurya msinipopoe).
Huyu ana shida gani?MWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?
Hii inaitwa midabwada, hamna kitu humo, kwa dunia ya leo wataalam washamaliza kila kitu hapo tena kwa fujo,MWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?