Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

tunaandika mengi sana lakini lazima tukubali kuna kitu kinaitwa Uumbaji wa Mwenyezi Mungu, shida zinaanzia hapa kwa jamii kijaribu kwenda tofauti nje ya huu msingi wa uumbaji..

Mwanamme ameumbwa kwa nafasi yake na Mwanamke ameumbwa kwa nafasi yake...kila mtu akienda nje ya majukumu ndio shida inaanza..
Tatizo kubwa liko kwa dada zetu au mama zetu, kupenda sana starehe, kujifanya watafutaji wa hela..na kujifanya wanaweza kusastain maisha yao...Hapo ndio shida ilipoanzia na kuanza kumdharau mwanamme..
 
Watetee tu mkuu watakufata huko PM, maana wadangaji wanapenda ma-good boys kama nyinyi[emoji1].

Mim nawachana ukweli kwasababu sitegemei kutongoza mwanamke humu.

NB; Mwanamke kama unapenda kutumia hela za wanaume bila kuwa na malengo nao, uza huo uchi watu wataununua na wala hakuna mwanaume atakae hangaika na wewe, sio mnakuja kudanga kwenye ndoa watu wana uchungu na hela zao bwana.

[emoji3516][emoji851][emoji12]
 
Huy

Huyo slay queen ambaye unamuoa,anakua anagegedwa na kila mtu anayemtaka,maadili hayataki hivyo,bora umuweke awe mchepuko,lasivyo ni fedheha.
Wewe unaishi kiridhisha watu au unaishi kufurahia maisha yako? Wewe wapo wanawake sio maslay queen na wameolewa na wanatombwer tuu.
 
Ugumu upo wapi wakati kama tako unalo, bikra unayo sasa ugumu upo wapi? Au una tabia mbaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaaaa!
 
Yupo sahihi, mtu yeyote ukiona hakufai, iwe mshkaji hata wa kiume, girlfriend au mke ni kuachana nae tu, kama kuna gharama umeingia na huwezi kuzirudisha basi, hii dunia ina watu wazuri wengi sana kung'ang'ania watu wabaya ni ukosefu wa akili

Kuua mtu ni kukurupuka na kukosa akili. Maana utaishi kwa shida maisha yako yote au ujiue na wewe...
Mimi nipo hapa kuwakumbusha wanawake wasiingie kwenye mahusiano kufata hela za wanaume ili yasiwakute haya maswaibu, kama humpendi mtu mchane mapema kabisa aondoke na hela zake...sio mtu anajenga kibanda.

Kama issue ni kutafuta hela hela kupitia mapenzi wauze miili yao moja kwa moja ili tuwanunue, au date na watu unaotaka ila sio kukimbilia kwenyr ndoa.
 
Mwenzio kaambiwa asiende mpirani kafosi na siku zote mwanamke ukimkataza asitoke kwenda mahali flani ulipomkatalia kwenda akakaidi au akalazimisha jua hicho anachoendea ni tofauti kabisa na kile ambacho amekisema kama sababu. Mfano kwa huyo Swalha hio siku ambayo alilazimisha kwenda mpirani ama kwenye show kimsingi hakwenda huko.

Kwa sisi wandewa huwa tunaelewa kabisa hio michezo.
Watoto hawawezi kukuelewa, hapo hapakuwa na mpira wala show.
 
" Mke aliaga mume alhamisi anaenda Shinyanga kumfanyia mteja wake make- up anarudi ijumaa ,mume kamruhusu, mke ijumaa hajarudi , jumamosi kaenda kuangalia mpira Simba na Yanga, kutoka Kirumba hajarudi home kainganisha Show ya Diamond," Mume kapanick , and the rest is history.
Hahahahah hapo mnasema jamaa mbaya kweli! hakuna mke humo bora alivyomrestisha in pisi!
 
Watetee tu mkuu watakufata huko PM, maana wadangaji wanapenda ma-good boys kama nyinyi😄.

Mim nawachana ukweli kwasababu sitegemei kutongoza mwanamke humu.

NB; Mwanamke kama unapenda kutumia hela za wanaume bila kuwa na malengo nao, uza huo uchi watu wataununua na wala hakuna mwanaume atakae hangaika na wewe, sio mnakuja kudanga kwenye ndoa watu wana uchungu na hela zao bwana.

kama umefuata hela kwenye ndoa basi uwe mtulivu nankufuata amri za mmiliki... tofauti na hapo ni kama mwizi tu aka mvamizi kwenye himaya ya watu.....hahahahahaha...

ni maneno makali kidogo lakini ndio ukweli wenyewe....lazima dada zetu, mama zetu na wadogo zetu wajue hili....
 
kuna ka feeling flan mke unakapata pale unapoambiwa nipikie nije kula😆😆

wallahy, unajihisi we ni mwanamke special

utawahi sokoni chap, uje ukae jikon mwenyewe...

lkn ndo hvyo watu tunatofautiana
Umeona ehh
 
Back
Top Bottom